Lakini lazima utampa ushauri na mara nyingi ukiona kijana anaoa Single mother na Wazazi wakamuacha ujue huyo kijana anashida sehemu labda umri umekwenda hajao na hawaoni dalili ya kuoa ndiyo maana akileta Mwanamke anataka kuoa Wazazi roho zinatulia na presha inashuka, unajua ki Afrika kijana umri ukienda na Wazazi hawaoni dalili ya kijana kuoa au kuwa na mchumba Wazazi wanakosa Amani. Kwahiyo kijana ukiwaletea yoyote tu awe na watoto watano wao hawana pingamizi ila kijana ana miaka 26 ampeleke mchumba mwenye watoto nyumbani kwa wazazi aseme anataka kuoa lazima atawekwa Kitano na kupewa maneno mazito.Kijana wangu ataoa mwanamke anayempenda, single mother or not, kwa hio Kijana wako akilleta single mother utamshoot?! Proof you are narcissistic bastard! Eti ukweli, upi huo? Idiot
Wana shida lukuki hao wako kwenye trauma.Mkuu hivi kwanini Single mother wanakua na Asila sana tena walio zalishwa bila Kuolewa yani wanakua na chuki moyoni iliyojificha. Na tena hawataki kuwa wakweli tofauti na Single Mother walifiwa na Waume zao wao wanakua wawazi unajua kila kitu kuhusu maisha yake ya ndoa
wakusaidia kudungua maembe ukifika msimu wakeππNakuzoom , wanaume waaminifu wa nini sasa?ππ
Wananichanganya kwamba huyu "singo maza" niachane naye,?πwakusaidia kudungua maembe ukifika msimu wakeππ
πππ god uplubetMkuu subiri kwanzaa,vuta pumzi alafu anza kutuambia shida nini?
Kumpenda mtu sio upumbavu kumpenda ASIEKUPENDA ndo upumbavu .. Tujitahidi kuepuka kuGENERALIZE mambo kila mtu anapitia changamoto TOFAUTIKtk Maisha yangu najutia sana kukutana na Binti Fulani single Mathers ana Watoto watatu.
Nilitokea kumpenda siku tu ya kwanza kumuona ilikua mwaka Jana mwezi Wa 3.
yaani nilimpenda yule single mather mpaka nikatamani kumuoa.
Jambo la kwanza ilinibidi ni nunue Kiwanja bila kumwambia nikajenga Vyumba Vitatu kuanzia mwezi 8 Mwaka 2024 kufika mwezi Wa kwanza mwaka 2025 Nyumba imekamilika ila kauli na Maelewano na huyo Mwanamke ni mabovu sana, anajiona mzuri yeye Kila Kitu Yuko sahihi, mda wote mtu wa kunitoa kasoro tu
Kwa kua nampenda Kila ninalolifa ya kwake baya, kufikia Mwenzi wa kwanza nikaanza utaratibu wakumpotezea, ile nyumba nikakabizi madalali waipangishe nichukue Kodi Maisha yaendelee.
kiuhalisia naichukia sana kumpenda mtu ni miongoni mwa upumbavu ni Kumpenda mwanamke.
ππMkuu subiri kwanzaa,vuta pumzi alafu anza kutuambia shida nini?
Dada itakuwa anahudhuria vikao sana ππ
Hata sisi kunawatu tunajutia kuwajua wanaume mnatulizaga acha tu Polesana ndugu
Jina la nyimbo kaka."ngojeni niwaambie wale wa true love msinitaanie kumpenda binaadamu ni ushujaa nyie"
DIZASTA VINA