Kwahiyo ukienda kwake, mtoto wake anakudandia "baba baba" na wewe unajitutumua unatoa hela ya shuleKuna singo maza mmoja nilikuwa nammendea miaka ya zamani kidogo, niliona kama ana akili akili. Kwenye stori anampiga vita sana huyo bwana na kudai hawana mawasiliano. Nikaamua kufanya research.
Siku moja nikaenda kwake bila taarifa. Kuingia ndani nakuta ameweka picha ya bwana ake ukutani(alisahau kuitoa). Inaonekana huwa anaweka na kutoa nikiwa naenda pale. Nikasema asante Yesu umelianika hilo fala mapema, acha nilichezee tu
Naunga mkono hoja
Kuna wanaume wamefanya makosa kuwa na single mother so hawataki wengn wapite njia hiyo ya maumivu, sasa ndo hizi madaSio kweli, single mothers ndie anaorun akili zenu si mnaona kutwa kucha kuwafungulia uzi!!? yan kiufupi mnawashobokea na wao hawaachi kuwapiga matukio mnakuja kulia lia humu.
Wapi nimesema hayo,kati ya hayo hakuna hata moja 😀😀Kwahiyo ukienda kwake, mtoto wake anakudandia "baba baba" na wewe unajitutumua unatoa hela ya shule
Tulia nikufanyie interview!Wapi nimesema hayo,kati ya hayo hakuna hata moja 😀😀
Sawa nipo tayari kwa dodoso la maswali. Tumia past tenses badala ya present tensesTulia nikufanyie interview!
Kwani baby mama wako huwa hujipigii muda wowote ukitaka?
Naxungumzia wakati uliopo! Wewe ni sample.Tumia past tenses badala ya present tenses
Unatumiaje wakati uliopo kwenye jambo ambalo halifanyiki wakati huu?Naxungumzia wakati uliopo! Wewe ni sample.
Unajipigia mashuti kwa baby mama wako?
Basi kama hupigi mashuti usikatae tunaposema sio single maza wote ni wabaya.Unatumiaje wakati uliopo kwenye jambo ambalo halifanyiki wakati huu?
Sikatai wapo wazuri, sana tu. Ila ni wa kutafuta kwa tochi, singo maza wengi vimeo. Sijawahi kuona singo maza ila nawajua vizuri sana, kwa sababu mimi ni mtu wa kufanya due deligence kabla ya kuhusiana na mtuBasi kama hupigi mashuti usikatae tunaposema sio single maza wote ni wabaya.
Ukishafanya utafiti ukaridhika mkawa kwenye uhusiano kuchepuka utachepuka au unatuliaSikatai wapo wazuri, sana tu. Ila ni wa kutafuta kwa tochi, singo maza wengi vimeo. Sijawahi kuona singo maza ila nawajui vizuri sana, kwa sababu mimi ni mtu wa kufanya due deligence kabla ya kuhusiana na mtu
Kwanza nimetulia, so lazima niendelee kutulia kwa sababu michepuko haijawai kuwa interest yangu, interest yangu ni kupenda kazi na familia bora yenye maisha mazuriUkishafanya utafiti ukaridhika mkawa kwenye uhusiano kuchepuka utachepuka au unatulia
Dah hongera sana mhasibu! Nakuombea upate mke mwema.Lazima niendelee kutulia kwa sababu michepuko haijawai kuwa interest yangu, interest yangu ni kupenda kazi na familia bora yenye maisha mazuri
Amen, itakuwaDah hongera sana mhasibu! Nakuombea upate mke mwema.
Naomba matokeo ya interviewTulia nikufanyie interview!
Kwani baby mama wako huwa hujipigii muda wowote ukitaka?
1. Sio SM wote ni wabayaNaomba matokeo ya interview
Unamaanisha nin mkuu chumvi?Vikao vyote inasisitizwa hakikisha umeona tuta......
Vikao vya kimaskini hivyo.Vikao vyote inasisitizwa hakikisha umeona tuta......