Mualike kwenye kikao maalumu mchape kama 10 imported beer hivi, ndio umuwekee swala lako mezani😁Si ndio maana nimeomba kistaarabu 😁 usifanye sasa akakataa
Usijifiche kwenye hicho kichaka ndg yangu, kama ni aged huwezi kukosa ushauri kisa watoto.Natamani niseme kitu, lakn nakumbuka nina mabinti wakubwa sana watatu na binti mwenye umri mdogo ana miaka 18...
Nikisema niwasodoe wanaume wenzangu nakumbuka nina vijana wakiume wakubwa watatu.
Busara zinaniongoza kunyamaza ili wasione kuwa wana baba wa ajabu ukizingatia majina yangu ni halisi.
Tutamfunga mdomo aje tu😁
Sawa omba appointment basi 😁Tutamfunga mdomo aje tu😁
Hamna shida,Sawa omba appointment basi 😁
Dada wa familia 🥰Hamna shida,
Samahani kaka KERATO MOMBAA tulikuwa tunakuomba mara moja kuna jambo tunataka kukushirikisha mimi na ndugu zangu wawili, utakuwa na muda sangapi ili tuyajenge🙄😬
Kwenye 1 na 2🤪Dada wa familia 🥰
Aisee hapo labda tusubiri hata mwezi upite!Na arsenal imefungwa sijui 😂
Tutamlazimisha ngoja kwanza ba mkwe aamke tuchonge naye vizuri!Kashaanza kuzingua hataki nioe huyo
Sister peke ako ndiyo unanitakia mema mdogo wako 😞Tutamlazimisha ngoja kwanza ba mkwe aamke tuchonge naye vizuri!
Dadaako bado nakupenda mdogo wangu!Sister peke ako ndiyo unanitakia mema mdogo wako 😞