BEDO NYALUTOGO
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 1,328
- 194
Mkuu mbona umerudia tunataka hayo ya taasisi.Baada ya Rais Magufuli kusema majina ya watumishi walioghushi vyeti yaanikwe; sasa yamewekwa hadharani.
Orodha ni hii hapa
Mkuu mbona umerudia tunataka hayo ya taasisi.Baada ya Rais Magufuli kusema majina ya watumishi walioghushi vyeti yaanikwe; sasa yamewekwa hadharani.
Orodha ni hii hapa
Mkuu kama penati, mpira umeingia kushoto kipa karukia kulia.Watu wa Dar mna matatizo sana,mliongoza kwa kuandika mitandaoni bashite bashite sasa hayumo kwenye hill kundi,mlijisahau kujiandaa na mambo haya yanayowahusu,mmezidi umbeya sana nyie.msheeew washenzi wakubwa
Ha ha ha hatariiiKijana wa Lowasa nae alifoji! Hahahaha halafu anawadanganya atatoa elimu Bure hadi chuo kikuu huku ukoo wake kuna wafoji vyeti?
Hataki tena urais,mlete shangazi yako agombeeNa huo ndio mtaji wa kura za ccm. Labda sizonje ategemee kura za geshi hapo 2020.
Tena wanafanya kaz kwa mkatabaJeshi io watumishi wa umma ndio maana kuna cheo cha 'private'
Kesho skukukuu wwwKuna nafasi kwenye taasisi fulani kesho naanza kuikaimu (Ag)
Magufuli Oyee
NSSF yake itafidia mkopo wake bank ya NMB alikopa najuaWangewatoa kwa mafao fulani ingekuwa vzr, kuwafukuza hivi kama mbwa sio fair, nimeona jina la mhandisi mmoja mkongwe (mtu wa civil ) amebakiza miaka kama 3 hivi kustaafu cha ajabu alikuwa ana-deliver vzr amesimamia majengo watu wanatibiwa, wanasoma na maroli yanapita juu ya brbr alizosimamia na kumpa credit magu bila wasiwasi halafu kawapokea vijana wahandisi wa mlimani na kuwafundisha kazi. Leo hii unamfukuza kazi kama mbwa, hii Magu aifikirie tena atafute namna ya kuwaondoa kwa staha. Kama Bashite amachwa kwa utendaji kazi mzuri ingawa cheti chake ni fake au wanajeshi au hao police wanapeta tu ingawa wapo wenye vyeti fake lkn hawaja kaguliwa? kwa nini anafanya unyama huu kwa baadhi ya wazalendo wa nchi hii.
Kule Mkoa wa Simiyu nimeona jina la DAS (Katibu Tawala wa Wilaya)Napenda kujua waliokutikana na vyeti bandia wenye vyeo kuanzia wakuu wa idara.
Kama umemuona kwa jina tupia hapa.
Majina yalojirudia hivyo yapo sasa sijui kama ndio ma kosa au ndio walikuwa wana share chetiHizi namba mbili za 4970 na 4971 ( Morogoro Vijijini ) huyo WINFRIDA F NYAKI ni Mtu mmoja au ni Watu wawili tofauti? Kama ni Mtu mmoja basi walioandaa hii kitu na wao hawako makini na si jambo zuri Kiutendaji.
..nawewe uko kwenye kale katimu ka kufoji vyeti?..roho inadunda sijui niifungue...
Inauma sana,afu ukute wenye vyeti original hawatujali tukiumwa wanatunyanyasaNImeona jina la dada mmoja alikuwa Nesi kituo cha Afya MELELA,kipo MVOMERO,alikuwa muuguzi mzuri sana,alifanya kazi yake kwa moyo kiasi kwamba wananchi wengi walimpenda sana,ila ndo hivyo tena kumbe alikuwa na cheti feki,Daah,pole sana dada BELADONA!!!!
Majina yalojirudia hivyo yapo sasa sijui kama ndio ma kosa au ndio walikuwa wana share cheti
Walikua wanshare cheti ambacho nqcho ni fakeMajina yalojirudia hivyo yapo sasa sijui kama ndio ma kosa au ndio walikuwa wana share cheti
Kwakuwa Muheshimiwa Rais wa JMT ametoa agizo kuwa majina ya watumishi wote waliobainika kuwa na vyeti vya kughushi yawekwe hadharani, ningependa nitoe wito kwa waziri mwenye dhamana ya kusimamia utumishi wa umma aagize majina hayo yawekwe ktk tovuti ya wizara ili iwe rahisi kwa wahusika kujitambua na kuitikia wito wa Rais wa kuachilia ofisi haraka na mara moja.<br />Hii ni kutokana na ukweli kuwa kutokana na idadi ya watumishi hao kuwa ni kubwa, kazi hii ikiacha ifanywe na magazeti itachukua muda mrefu kwakuwa haitowezekana kutoa orodha yote kwa wakati mmoja.[emoji24]