Makene
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,475
- 282
Adobe acrobatjaman kuifungua hii orodha inatakiwa kuwa na app gan???
Adobe acrobatjaman kuifungua hii orodha inatakiwa kuwa na app gan???
KAMA ULIKUWEPO AKILINI MWANGU VILE NA KATIKA MAPIGO YA AWAMU HII HILI NI PIGO BABU KUBWA. WATU WAMEPOA LEO NO STORYHii list italeta maneno kuliko ile list ya wauza unga feki ya Daud Bashite
Huu uhakiki kwanini haukufika kwenye majeshi yetu au na wao wanatakiwa kujua kusoma na kuandika tu?
Eti eeh!Tanzania kila kitu ni feki inawezekana hata list hii ya vyeti feki nayo ni feki.
Wapo watu walifeli kidato cha nne, wakaenda buguruni wakatengeza Cheti kwa majina yao.Mtu aliyefoji cheti anatumi jina lingine. Kama alikuwa anaitwa A.B. atajiita P. M. Sasa hayo majina waliyotoa ni jina halisi au jina la cheti alichotumia? Kama ni jina halisi basi kazini hajulikani hivyo kwa hiyo sio yeye aliyefukuzwa kazi. Kama ni jina la cheti alichofoji basi wenye hayo majina hawakuwa kazini bali watu wengine walitumia majina yao. Vinginevyo hiyo forgery ilikuwa ya kubadili C kwenye cheti kuwa A
Lakini suala la msingi la kujiuliza. Je watu hawa walidhamiria kutenda haya au la! Kama walikusudia unajua ni kosa la jinai mojakwamoja. Na kifungo chake ni miaka 7. Mwajiri anakuambia umefanya udanganyifu huo na umeiibia serikali mamilioni ya mishahara, posho, likizo na mengine meeengi kwa kujifanya huna tatizo. Sasa sikuelewi una maana gani na hoja yako. Tafuta namna nyingine ya kulizungumzia hili lakini sio kwa njia uliyoitumia. Ni ujinga mtupuWangewatoa kwa mafao fulani ingekuwa vzr, kuwafukuza hivi kama mbwa sio fair, nimeona jina la mhandisi mmoja mkongwe (mtu wa civil ) amebakiza miaka kama 3 hivi kustaafu cha ajabu alikuwa ana-deliver vzr amesimamia majengo watu wanatibiwa, wanasoma na maroli yanapita juu ya brbr alizosimamia na kumpa credit magu bila wasiwasi halafu kawapokea vijana wahandisi wa mlimani na kuwafundisha kazi. Leo hii unamfukuza kazi kama mbwa, hii Magu aifikirie tena atafute namna ya kuwaondoa kwa staha. Kama Bashite amachwa kwa utendaji kazi mzuri ingawa cheti chake ni fake au wanajeshi au hao police wanapeta tu ingawa wapo wenye vyeti fake lkn hawaja kaguliwa? kwa nini anafanya unyama huu kwa baadhi ya wazalendo wa nchi hii.
Kazi ipoHao huwa hawajaribiwi Mkuu watakata funua mara tu mtu chalii huku kajaa vumbi mwili mzima akiuliza nimepiga mweleka mwenyewe au kuna mtu kanisukuma.
Shida ni kugushi vyeti mkuu. Kigezo cha uwezo tulichokubaliana ni kufaulu mitihani husika kihalali.Short of that you are not qualified . Wewe unaweza kumuona mtu anafanya kazi vizuri kwa kuwa huna utaalam wa kum-assess. Ila mimi mtaalam nikimpima nitamuona hafai.You see hili ni swala la kitaalam,hakuna haja ya kubishana,ambae hana qualifications zinazotakiwa inabidi aondoke apishe wengine ,wenye qualifications.Sasa kama taaluma aliyosomea anayo na anafanya kazi vizuri shida iko wapi??
Dishi kako limeyumba wewe wenzio hawataki hata kuyaona wewe unalalamika jina hulioni duh hii hatariMbona jina langu silioni jaman
Kijana, vijana kama ni hawa wa ulabu, wasichana,starehe zingine na tamaa za kijinga, afadhali wazee wabaki. Frankly simuoni kijana anayetosha.Ubishi mwingi bila output.HEADING INAVYOJIELEZA HAPO JUU.KWA UMRI WA MIAKA 55 UNATOSHA SANA KWA MFANYAKAZI SERIKALINI KUTOA MCHANGO WA UJUZI ALIO NAO KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU.KWA SASA NCHI INA HAZINA KUBWA YA WASOMI VIJANA.ZAMANI KIDOGO,UMRI WA KUSTAAFU KWA LAZIMA ULIONGEZWA KUTOKA 55 YRS NA KUWA 60 YRS KWA KISINGIZIO CHA UHABA WA WATAALAMU. NADHANI ILIKUWA NI HAWA WAZEE KUJIPENDELEA NA KUOGOPA KUINGIA MITAANI MAPEMA."UMRI WA KUSTAAFU KWA LAZIMA URUDISHWE 55 YRS ".TUSIWABANIE VIJANA WETU AJIRA .MH.MAGUFULI TUSAIDIE KWA HILI. WAPASHE HAWA WAZEE KWENYE SHEREHE ZA MAY MOSI MWAKA HUU ILI WAJIANDAE KI-SAIKOLOGIA.
Nili wasilisha tens niya mwaka 2009, matokeo ya darasa zma yanayo tolewa na NACTE pamoja na barua ya mkuu was shule yenye pcha yangu kuthibitisha kua nilisoma shule hyo pamoja na admission number yangu. Lakin imeshindikana.
Achia ofisi acha hasiraView attachment 502470
Watumishi wa umma wapo 570,000, kwa nini wakaguliwe 400,035 hawa wengine waachwe? tuna taka orodha ya JWTZ, Polisi, JKT na Magereza.
Vipi Miss anayekuhusu ameguswa nini?makubwa haya inatisha
Hujaona nini Shushushu?Mimi sijaona kabisaaa
In kweli in kijana was lowassa usituvuruge boya mwenyewe,japo sio wa ENL!Huyo si kijana wa Lowassa boya wewe