una id ya ajabuNyie si ndo mlipinga akina wema na wenzake kutajwa hadharani? Leo vipi tena mnataka hamtaki?
Wivu tu wakike..Mbona una wasiwasi Mkuu au na Wewe upo nyavuni? Acheni tu muwekwe hadharani ili tuheshimiane vizuri kwani wengi wenu mlikuwa mkitunyanyasa mno humu Kitaani kwa ' Mashauzi ' kibao kumbe hizo ' Nyodo ' zenu zote zilikuwa na msaada wa kutumia Vyeti feki. Karibuni sana Mtaani Wakuu ili tulisongeshe kwa pamoja.
Tutafika tu!
Pale kiteto naona tsunami imempitia headmaster wa siku nyingi karibu anastaafuMbona nimeona pale manyara kunamwasibu kabisa kasombwa usiangalie mkoa mmoja ukatoa hitimisho.
maskini ole ni kwa waalimu na manesiDah too sad. Ila hii orodha cjaona ikionyesha waajiriwa wa kwenye mawizara, na taasisi za serikali , na yale ambayo sio directly ya serikali ila watumishi wake wanalipwa na serikali.
I wonder of it os fair. . just thinking. ..
Of course ni sawa unalosemaSiyo kweli, kuna wahasibu, wahandisi, surveyor n.k
Regional Administrative Secretary ( Katibu Tawala Mkoa).hiyo RAS inamaana gani wadau?
Pole kafungue Banda la chips dodomaKwa ujumla hilo zoezi halina maana tena, na hata hayo majina wabaki nayo tu
Huu uhakiki kwanini haukufika kwenye majeshi yetu au na wao wanatakiwa kujua kusoma na kuandika tu?
Tukutane Central then tukupeleke KisutuNdugu zangu wa jf mwenzenu naombuka naomba msaada please! Ni hivi jina langu limetajwa kwenye list of shame hii ya vyeti feki Lakini Mimi nina cheti halali kabisa na nimesoma jamhuri dsm secondary school Lakini cha kushangaza nimekuta nipo.Naomba mawazo yenu.Note cheti changu kilinipotea wakati nipo mkoani na sijakiona tena
Hao ni parastatals km dawasco etcKuna maahirika kama TANESCO na bandari majina hakuna wakati huko ndo wamejaa
SawaPole kafungue Banda la chips dodoma
Acha masihara mkuu limenifika mwenzioTukutane Central then tukupeleke Kisutu
majeshi hawapo utumishi wa umma mkuu....View attachment 502470
Watumishi wa umma wapo 570,000, kwa nini wakaguliwe 400,035 hawa wengine waachwe? tuna taka orodha ya JWTZ, Polisi, JKT na Magereza.
Aache kutamba kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Of course ni sawa unalosema
Ila me naona kwa nn hawezi wagusa hao Jamaa ni kwamba hao ndo walinzi wake
Pili jiulize watu wanajua sehemu siraha zinapowekwa na anajua kutumia siraha zote Leo kwa wingi wasiwe na ajira tena kwa kuwatumbua huku mtaani itakua ni shiida aisee
So naona ktk kuzuia hilo akaona awaache tu hawa Jamaa na kuanza kubana vigezo vya kuingia jeshini
Kuhusu swala kwamba atakua na double standard katika kutekeleza mambo yake hili swala la double standard ni gumu sana kuzuia coz kuna vitu kama mapenzi, priority na kundi au watu flani so double standard haikwepeki