b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,194
- 2,114
Dogo acha ubwegeee sisi wa 2003 na bado tupo kitaa TUSEMEJE!?Afadhali bhana nasisi tuliyograduet Shahada mwaka 2013 tupate Ajira
Komaaa..!!
Dogo acha ubwegeee sisi wa 2003 na bado tupo kitaa TUSEMEJE!?Afadhali bhana nasisi tuliyograduet Shahada mwaka 2013 tupate Ajira
Utakapojua mmoja wa waanga ni mama yako au baba yako sijui utasemaje ..[emoji12] [emoji12] [emoji12] katika matendo ya jpm hili limenifurahisha sana, watu tusugue benchi miaka nenda rudi shuleni na ajira tukose halafu kuna watu hewa 'ghosts' aka mizimu walikalia viti visivyowahusu,jpm safi sana hii,nashukuru sikupata ajira rasmi nikajiajiri hata hivyo,karibuni informal sector au m back to school mkabukue cha uzeeni [emoji13] [emoji13] [emoji13] samahani lakini
* Madeni yasiyolipika benki na kwingineko yataongezeka
* HESLB hawa mmewakosa
* vibomu vitaongezeka
* magari na assets nyingine za homeuse baada ya mwezi hivi utanunua kwa bei chee humo mitandaoni
* Nk nk
Mbona unashindwa kutambua "UTIMAMU" wa MAJESHI YETU!????Huu uhakiki kwanini haukufika kwenye majeshi yetu au na wao wanatakiwa kujua kusoma na kuandika tu?
Haaahaaafungua tu majina yenyewe hayafiki 9000
Sio Muhimu SanaView attachment 502470
Watumishi wa umma wapo 570,000, kwa nini wakaguliwe 400,035 hawa wengine waachwe? tuna taka orodha ya JWTZ, Polisi, JKT na Magereza.
Mamaee, Mimi ni Chadema Ila kwa hatua hii ya Magufuli na serikali yake ni lazima niwapongeze kabisaaaaHii ndiyo orodha ya watumishi 9000 ya watumishi wenye vyeti feki. Je ni sahihi kuwafukuza kazi ukizingatia mchango walioutoa kwa miaka hiyo waliyoitimikia serikali? Hakuna njia nyingine yoyote inayoweza kufanywa bila kuwafukuza?
Karibuni wadau.
Sitaki kuamini ninachokiona hadi watu wa dini ile wamefoji vyeti? wao si ndo huwa wanajisifu wamesoma!!!!
Umegraduate BA Archeology ajira utapatia wapi mkuu, si bora ukalime tu huko Malampaka?Afadhali bhana nasisi tuliyograduet Shahada mwaka 2013 tupate Ajira
Hii noma.Baada ya Rais Magufuli kusema majina ya watumishi walioghushi vyeti yaanikwe; sasa yamewekwa hadharani.
Orodha ni hii hapa
Pongeza basi hata kwa juhudi zilizofanyika basi aseee.....umenikumbusha usemi mmoja kua Watu hata wakikuona unaogelea watasema unawatimulia vumbi.Ingekua anafukuza hadi wakuu wa mikoa, wilaya, wabunge na mawaziri ingekua sawa. Lakini kubagua baadhi ya watu si sawa, wote wangefukuzwa sababu makosa yao ni sawa.
Huruma sana kwa hao waliofukuzwa
haahahaha.........huwaga na wao wanazingua..???leteni link tujue kama washua wamezingua...
Hapo busara iliyofanyika ni kutowapeleka mahakamani, sasa sijui unataka busara gani zaidi ya hiyoNdo mfumo tuliona kwa sasa wa kibabe. Ni kweli wamefanya makosa lakini watu 9000 na mifumo yetu mtu mmoja anabeba watu zaidi ya watano. Sasa 9000×5 wakosa mahitaji. Busara ingetumika itafutwe njia nyingine.