Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Naona watu wa tamisemi tu, lakini mbona kwenye mashirka ya uma km vile Veta cjaona, uko ndo atar weng sana
 
Mbona tulitangaziwa wapo 9000? Sasa kwenye orodha wapo 8716 Mwenye ufafanuzi anisaidie. Pia Wanatangaza kufukuza watu 10000 badala ya 9000 walioitaja WAO au 8716 iliyopo kwenye orodha? Samahani kwa usumbufu.
 
Dah too sad. Ila hii orodha cjaona ikionyesha waajiriwa wa kwenye mawizara, na taasisi za serikali , na yale ambayo sio directly ya serikali ila watumishi wake wanalipwa na serikali.
I wonder of it os fair. . just thinking. ..
 
angekua anafukuza hadi wakuu wa mikoa, wilaya, wabunge na mawaziri ingekua sawa. Lakini kubagua baadhi ya watu si sawa, wote wangefukuzwa sababu makosa yao ni sawa.

Huruma sana kwa hao waliofukuzwa
Hao uliowataja wanafanyiwa vetting na yeye ndiye anawateua kwahiyo hilo group kwanza ana uhakika nalo.

Lakini ili uwe ktk hiyo nafasi husomei taaluma yoyote zaidi ya kujua kusoma na kuandika yaani Rais hajawekewa mpaka na sheria kuwa ili uteue lazima MTU huyo awe na ujuzi huu au elimu kiwango hiki Bali awe anajua kusoma na kuandika
 
Bashite Hajulikani, Ila Huyu Hapa Yupo
Mkuu na bashite yupo?
7909f8e4fcc1ba56ae63ba9b7b0b3b86.jpg
 
Lakin huyu jamaa anaposema mshaara wa mwezu huu anamaanisha nini wakat tushakaribia kuimaliza ? au anazan taree 28 mipunga bado ilikuwa hazina ?

tehe tehe tehe nishaupiga ngeu nusu na mweza haujakata 🙁
 
Double standards zinaudhi sana.
Hivi wapo binadamu wanakosa aibu kwa kiwango hiki? siwaonei huruma hao wote waliofukuzwa lakini lakini mnapata wapi ujasiri waku waacha wengine kwa sababu yoyote ile? Huo ujasiri sio wa binadamu, binadamu huwa na aibu.
 
Bashite Hajulikani, Ila Huyu Hapa Yupo

7909f8e4fcc1ba56ae63ba9b7b0b3b86.jpg
Duuh,, huyo nae katoka wapi?? Nchi hii imejaa vituko....!!! Khaaa...!!! hongereni bhana sie ngoja tujungujike,, mkimaliza hizo comedy zenu mje tuijenge nchi..!!!

Sas hiv nyie zamu yenu kulinda kopo sie tumejificha kwenye pagala tutafuteni, mkishatuona nyie mnajificha sisi tunalinda kopo,, hiyo inaitwa kombolela..!!!
 
Back
Top Bottom