Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669

Attachments

  • 346750347-Public-Service-Taasisi-1.pdf
    107.1 KB · Views: 824
  • 346750078-Public-Service-Halmashauri.pdf
    593.2 KB · Views: 719
Kwakuwa Muheshimiwa Rais wa JMT ametoa agizo kuwa majina ya watumishi wote waliobainika kuwa na vyeti vya kughushi yawekwe hadharani, ningependa nitoe wito kwa waziri mwenye dhamana ya kusimamia utumishi wa umma aagize majina hayo yawekwe ktk tovuti ya wizara ili iwe rahisi kwa wahusika kujitambua na kuitikia wito wa Rais wa kuachilia ofisi haraka na mara moja.
Hii ni kutokana na ukweli kuwa kutokana na idadi ya watumishi hao kuwa ni kubwa, kazi hii ikiacha ifanywe na magazeti itachukua muda mrefu kwakuwa haitowezekana kutoa orodha yote kwa wakati mmoja.
 
Mbona una wasiwasi Mkuu au na Wewe upo nyavuni? Acheni tu muwekwe hadharani ili tuheshimiane vizuri kwani wengi wenu mlikuwa mkitunyanyasa mno humu Kitaani kwa ' Mashauzi ' kibao kumbe hizo ' Nyodo ' zenu zote zilikuwa na msaada wa kutumia Vyeti feki. Karibuni sana Mtaani Wakuu ili tulisongeshe kwa pamoja.

Tutafika tu!
 
Vyeti.PNG

Watumishi wa umma wapo 570,000, kwa nini wakaguliwe 400,035 hawa wengine waachwe? tuna taka orodha ya JWTZ, Polisi, JKT na Magereza.
 
Kweli tuna watu wenye Vyeti feki wapo wengi nakupongeza kuwatoa kwenye utumishi wa umma ila moyo wangu Bado una wasiwasi mkubwa juu ya kuwatumbua wenye Vyeti Feki kwa sababu kuu moja mwaka Jana mliajiri vijana 300 kanda ya mahakama na kuwasainisha mikataba na kuwapa posho za kujikimu walifanya kazi mwezi mmoja na baadae mliwasimamisha kazi kwa mda usiojulikana Leo hii wapo nyumbani hawajui hatima yao serikali ipo Kimya.

Wasiwasi wangu zoezi la kufukuza kazi jana limewakumba hata wenye Vyeti original ninaamini Kama mliwasimamisha kazi Hawa bila utaratibu mnashindwaje? Kuwaonea wengine kwa maslahi binafsi?? Naamini kuna watu wameonewa wengi tu
 
Kwakuwa Muheshimiwa Rais wa JMT ametoa agizo kuwa majina ya watumishi wote waliobainika kuwa na vyeti vya kughushi yawekwe hadharani, ningependa nitoe wito kwa waziri mwenye dhamana ya kusimamia utumishi wa umma aagize majina hayo yawekwe ktk tovuti ya wizara ili iwe rahisi kwa wahusika kujitambua na kuitikia wito wa Rais wa kuachilia ofisi haraka na mara moja.<br />Hii ni kutokana na ukweli kuwa kutokana na idadi ya watumishi hao kuwa ni kubwa, kazi hii ikiacha ifanywe na magazeti itachukua muda mrefu kwakuwa haitowezekana kutoa orodha yote kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom