MHE.MWENYEKITI WA TUGHE TCAA AUMBUKA KWA KU FORGE CHETI.
Mhe. Mwenyekiti wa Chama cha kutetea wafanyakazi wa Mamlaka ya ya Usafiri wa Anga TCAA (TUGHE) ndugu Samuel Pastory amekutikana na cheti cha kughushi cha kidato cha nne, ametia aibu kwa kitendo cha yeye kuongozwa watu wenye degree na waongozaji wa ndege, huku akiwa na mikwala mingi ya kuchongea watu, kumbe na yeye ni Bashite