BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nimebahatika kukutana na aliyetumbuliwa ni msiba,ameona jina saa saba usiku nikilio na kusaga meno hata sina namna ya kumfariji zaidi ya kumuomba Mungu ampe faraja ni msibaSielewi kama ndo umefungua mtandao ukaona Jina lako kesho utaamka vipi.