Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Wangewatoa kwa mafao fulani ingekuwa vzr, kuwafukuza hivi kama mbwa sio fair, nimeona jina la mhandisi mmoja mkongwe (mtu wa civil ) amebakiza miaka kama 3 hivi kustaafu cha ajabu alikuwa ana-deliver vzr amesimamia majengo watu wanatibiwa, wanasoma na maroli yanapita juu ya brbr alizosimamia na kumpa credit magu bila wasiwasi halafu kawapokea vijana wahandisi wa mlimani na kuwafundisha kazi. Leo hii unamfukuza kazi kama mbwa, hii Magu aifikirie tena atafute namna ya kuwaondoa kwa staha. Kama Bashite amachwa kwa utendaji kazi mzuri ingawa cheti chake ni fake au wanajeshi au hao police wanapeta tu ingawa wapo wenye vyeti fake lkn hawaja kaguliwa? kwa nini anafanya unyama huu kwa baadhi ya wazalendo wa nchi hii.
 
mhandisi duh
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nimegundua vetting nchi hii ni bosheni tu ya kuwapatia watu ulaji au vetting huenda inafanywa kujua tu kwamba mtumishi huyu ni CHADEMA supporter au sio, Haiwezekani mkuu wa Idara ambaye tunaambiwa lazima apitie vetting kuthibitishwa hicho cheo naye jina lake linatokea kwenye wenye vyeti fake!
 
Kiswahili kikae vizuri hao hatuwezi kuita watumishi hewa, labda tuseme watumishi wasio na sifa kitaaluma! Lakini ni vyema pia kila mmoja akacheki jina lake usije kuwa unaangalia kama fulani yumo ama hayumo kumbe nawe umo, waliofanya kazi hiyo ni binadamu.
 
Wanaangalia wapi?
 
Wote tuliobainika kuwa na vyeti feki tukutane hapa kwa updates, ushauri nn cha kufanya kwa kuwa maisha yanaendelea
 
Waende Tu,wengine walifika ofisini wakaanza kuleta na Ndugu Zao! Ofisi nzima ukiiingia unakuta kama upo mkoa fulani halafu wote mavyeti Feki...Fikiria anaekufanyia Interview Cheti chake Ameghushi,Atakupiga danadana mpaka Unasepa! Nawachukia sana wale wanaokaa kwenye maviti ya kuzunguruka maofisini halafu kumbe mavyeti yao wameghushi!!!!
 
Back
Top Bottom