Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Naona watu wa tamisemi tu, lakini mbona kwenye mashirka ya uma km vile Veta cjaona, uko ndo atar weng sana
Acha bangi kijana wewe unajua watumishi wote wa veta na taasisi nyingine zote. Au kwa sababu kwenye hiyo list hakuna neno veta basi unajua hawapo?
 
Mbona tulitangaziwa wapo 9000? Sasa kwenye orodha wapo 8716 Mwenye ufafanuzi anisaidie. Pia Wanatangaza kufukuza watu 10000 badala ya 9000 walioitaja WAO au 8716 iliyopo kwenye orodha? Samahani kwa usumbufu.
Kuna orodha mbili moja ina majina 8716 na nyingine 1216
 
Tatizo la kufogi vyeti nadhani lingewahusu pia wakuu wa mikoa na wilaya na mawaziri kwa kuwa wanaongoza watu sasa wewe ukiwa umefogi vipi utaweza kuongoza watu walio wasomi hili waliweke sawa kwa kweli
Hii ndio udhaifu mkubwa wa hili zoezi.kwa kweli ni maajabu eti baadhi wanakula excluded kwa kisingizio kwamba wao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika. Hata ambao wanajulikana wazi wameghushi majina kama Bashite loool salaaaleeh
 
Kuna kukosa umakini kwa watu waliofanya hii kazi au ni ''kiki'' majina yawe mengi?
Majina mengi yamejirudia mfano huu hapa:
7322 Edina L Kakenyeli na 7330 Lugano Edina Kakenyeli toka Simiyu.
 
Hapa mtaani kwetu" tunaishi na kigogo
mmoja iv wa serikalini....
Ajabu ni kwamba..leo asubuhi amekuwa wakwanza kuamka na kupita kila nyumba
KUSALIMIA......baada ya hapo" huimba
nyimbo akisema....{ tarehe 15 au miaka 7 }Huirudia hiyo nyimbo....tena kwa sauti kubwa......Sasa sijui anatatizo gani...**$**
Hata viatu hajavaa, shati lenyewe kaliweka
kichwani. SIJUI KAPATWA NA NINI..$*~.
 

Kwenye ordha ya Taasisi naona namba 416 na 417 kule Rukwa ndio mtu yule yule inakuwaje hapa?
 
Uchumi wa nchi utakuwa sana, kwa maana tutaingiza fedha nyingi za kigeni... hakika kwa approach hii itawafanya serkali za mataifa mengine waje kujifunza kwetu na tutaingiza pesa pia za kigeni kwa kupokea wanafunzi...

Pole pole ndio mwendo
Kweli ni nchi yenye maajabu mengi sana, nimegundua baada ya muda fulani watalii watakuwa wanakuja nchini kutuangalia kama mbuga zetu za wanyama wa porini
 
Hapa mtaani kwetu" tunaishi na kigogo
mmoja iv wa serikalini....
Ajabu ni kwamba..leo asubuhi amekuwa wakwanza kuamka na kupita kila nyumba
KUSALIMIA......baada ya hapo" huimba
nyimbo akisema....{ tarehe 15 au miaka 7 }Huirudia hiyo nyimbo....tena kwa sauti kubwa......Sasa sijui anatatizo gani...**$**
Hata viatu hajavaa, shati lenyewe kaliweka
kichwani. SIJUI KAPATWA NA NINI..$*~.
Mkuu kuwa sirias bas, hyo kitu ni kwel? Hahahaaa
 
sasa mtataka hadi makilikili nao wakaguliwe......
hawapo utumishi hao mkuu...utakonda bure....waachwe tuu waendelee kutuimarishia ulinzi na usalama...
kulikoni kukata bogi la wao kwa wao.....
hakuna kitakachofanyika huko kitaaa.....
 
Huenda kuna awamu nyingine inafuata maana sikuona uhamiaji, polisi, uwanja wa ndege Dar nk. labda sikuangalia vizuri nini?
 
Back
Top Bottom