Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

kuna wtu walikimbia kimya kwa janja ya kuandika barua ya kuacha kazi ili wasikose mafao,bashite angetumia janja hii tungemuacha apumzike,short of that we will bark till the end of time
 
Namfahamu D.A BASHITE dah afadhali sijamwona, hayumo ktk listi,yaani ingeniuma sana kama angekwepo ktk hii listi,kwa kweli niseme uhakiki umezingatia vigezo vyote
Bashite alikuwemo lakini waziri akalichomoa jina lake kwa kuhofia kukutwa na yaliyomkuta Nape.
 
kuna wtu walikimbia kimya kwa janja ya kuandika barua ya kuacha kazi ili wasikose mafao,bashite angetumia janja hii tungemuacha apumzike,short of that we will bark till the end of time
ni bora angetumia njia hiyo mda huu watu wangekuwa wamemsahau yupo mitaani anakula 10% zake za ununuzi ndege kwa cash kiimya kiimya.
 
Wangewatoa kwa mafao fulani ingekuwa vzr, kuwafukuza hivi kama mbwa sio fair, nimeona jina la mhandisi mmoja mkongwe (mtu wa civil ) amebakiza miaka kama 3 hivi kustaafu cha ajabu alikuwa ana-deliver vzr amesimamia majengo watu wanatibiwa, wanasoma na maroli yanapita juu ya brbr alizosimamia na kumpa credit magu bila wasiwasi halafu kawapokea vijana wahandisi wa mlimani na kuwafundisha kazi. Leo hii unamfukuza kazi kama mbwa, hii Magu aifikirie tena atafute namna ya kuwaondoa kwa staha. Kama Bashite amachwa kwa utendaji kazi mzuri ingawa cheti chake ni fake au wanajeshi au hao police wanapeta tu ingawa wapo wenye vyeti fake lkn hawaja kaguliwa? kwa nini anafanya unyama huu kwa baadhi ya wazalendo wa nchi hii.
Inatia huruma lakini hamna jinsi Ndo Sheria yenu inavyotaka
Salaam.

Naipongeza serikali kwa juhudu kubwa na bila kumwonea mtu haya sakata la vyeti fake. Hilo Mh Rais ameonesha dhamira ya dhati kabisa.

List nimeikagua mwanzo mwisho, sijafanikiwa kuona jina la mtu yeyote ninayemfahamu.

Lingine, sijaelewa baadhi ya waajiri au vituo vya kazi kuhusiana na hao watumishi hewa. Kuna mahali nimekuta tu MANZESE, UTAALAM, MAKAO MAKUU nk. Sikuelewa vzr,au labda typing error.

Mwenzangu umeona mtu unayemfahamu kwenye hiyo list? Dsm imeonekana kuwa na fake wengi sana.

View attachment 502849View attachment 502850View attachment 502851View attachment 502852View attachment 502853View attachment 502854View attachment 502855View attachment 502856View attachment 502857
 
Mimi nasubili uhakiki wa vyeti vya wenyeviti wa vyama vya siasa
 
Dah kwangu wamedakwa wawili,na mkuu mmoja mnoko nae kadakwa Tena huyu alinifanyia kitu mbaya!!mwnz JJ.
 
Tanzania kila kitu ni feki inawezekana hata list hii ya vyeti feki nayo ni feki.
Ndiyo maana hawakugusa wanasiasa, etc etc etc........
Ikiwa wanasiasa ndiyo wanatunga sheria na vyeti vyao havijulikani, kazi bado ipo........
 
Mtu aliyefoji cheti anatumi jina lingine. Kama alikuwa anaitwa A.B. atajiita P. M. Sasa hayo majina waliyotoa ni jina halisi au jina la cheti alichotumia? Kama ni jina halisi basi kazini hajulikani hivyo kwa hiyo sio yeye aliyefukuzwa kazi. Kama ni jina la cheti alichofoji basi wenye hayo majina hawakuwa kazini bali watu wengine walitumia majina yao. Vinginevyo hiyo forgery ilikuwa ya kubadili C kwenye cheti kuwa A
 
Back
Top Bottom