mamaudaku
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 703
- 467
Hapa nampa hongera.Magufuli.
Tatizo la kufogi vyeti nadhani lingewahusu pia wakuu wa mikoa na wilaya na mawaziri kwa kuwa wanaongoza watu sasa wewe ukiwa umefogi vipi utaweza kuongoza watu walio wasomi hili waliweke sawa kwa kweli