Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Kwa majeshi kuachwa naweza kumuelewa hao wakiachwa mtaani hapatakua sehemu salama pakuishi, sasa hawa wateuliwa na wanasiasa wanaachwa kwa vigezo gani
Hili zoezi limekosa uhalali hata mbele ya Mungu.
 
Baada ya Rais Magufuli kusema majina ya watumishi walioghushi vyeti yaanikwe; sasa yamewekwa hadharani.

Orodha ni hii hapa
Duh, aisee, halimashauri zimeoza. No wonder utumishi wa halimashauri zetu ni duni sana. Na bado walio-graduate kwenye vyuo vilivyopewa usajili kiaina lakini havina viwango na waliopitia kwenye vyuo vinavyotambulika kwamba ni vizuri lakini wamehonga honga tu lecturers nk.Duu, tunao watumishi wachache sana wanaofaa aisee.
 
HEADING INAVYOJIELEZA HAPO JUU.KWA UMRI WA MIAKA 55 UNATOSHA SANA KWA MFANYAKAZI SERIKALINI KUTOA MCHANGO WA UJUZI ALIO NAO KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU.KWA SASA NCHI INA HAZINA KUBWA YA WASOMI VIJANA.ZAMANI KIDOGO,UMRI WA KUSTAAFU KWA LAZIMA ULIONGEZWA KUTOKA 55 YRS NA KUWA 60 YRS KWA KISINGIZIO CHA UHABA WA WATAALAMU. NADHANI ILIKUWA NI HAWA WAZEE KUJIPENDELEA NA KUOGOPA KUINGIA MITAANI MAPEMA."UMRI WA KUSTAAFU KWA LAZIMA URUDISHWE 55 YRS ".TUSIWABANIE VIJANA WETU AJIRA .MH.MAGUFULI TUSAIDIE KWA HILI. WAPASHE HAWA WAZEE KWENYE SHEREHE ZA MAY MOSI MWAKA HUU ILI WAJIANDAE KI-SAIKOLOGIA.
 
Kuna wengine kunaa makosa ya logistics tu,kwa mfano kuna dad namfahamu amefanya mtihani kidto cha pili mara mbili,na kisha kufaulu na kwenda kusoma...six,kisha chuo..lakini alichkosea ni majina ya mwisho kwenye acount ya mshahara kutofautina nayaliyopo kwenye cheti si nae yumoooo...daaa lkn cheti sio cha kugushi maskiiiiniiiiii
Kidato cha pili ukifaulu unapaswa kuingia kidato cha tatu.Sasa ilikuwaje akatoka kidato cha pili akaenda cha 6 halafu chuo?
 
Mambo zenu wanaJF.

Zimwi la vyeti fake ndo habari ya mujini mujini Dsm na duniani kote. Hapa Dsm, ukipanda daladala au ukienda bar ,swala la vyeti fake limegusa familia nyingi sana hapa nchini.

Kuna ambao wameona watoto wao, ndugu zao, rafiki zao, waume/wake zao, wazazi wao nk na sasa habari imeshavuja.
Sasa basi, tutegemee maofisi kupwaya watu siku za karibuni. Na pia watu kubaki majumbani kulea watoto na vijukuu.

Umejisikiaje baada ya kuona mtu unayemfahamu kwenye orodha ya watumishi hewa?

Binafsi sijaona mtu ninayemfahamu.
Inauma sana...mi nimeona kama watano nawajua
 
Majina tumeyaona . ila ingependeza zaidi wengeweka na kazi zao walizokuwa wakifanya ili wasaka ajira wajue kuwa kuna nafasi ngapi za Uhasibu,Uguzi,watunza kumbukumbu,udereva, ualimu,watendaji wa mtaa au kata, nk.lakini wametoa majina kavu kavu tu huwezi tathimin faida ya hii kazi kwa wasaka ajira. kwa serikali faida ipo ya kupunguza matumizi ya mishahara.
 
Hivi hawa jamaa vyeti feki wamegusa mpaka uko kwenye jeshi ,JWTZ,Magereza,Police au ndiyo uku uku kwa wanyonge tu
 
Msichanganye mambo.Iko hivi mwengine O level au A level wamesoma ila sifa za kuingilia vyuo walikuwa hawana.Wamefanya magumashi ya short cut ili kupata professional ya kitu.Hivyo kusoma naye sio hoja ya msingi sana kwani sio kila uliyesoma naye alifika hapo ulipokutana naye kihalali.Kwani Bashite UD amesoma na wangapi?
Sasa kama taaluma aliyosomea anayo na anafanya kazi vizuri shida iko wapi??
 
Hahahah dah hata mm nimeona jina la rafiki yangu nae hajawahi kufanya kazi serikalini na tumesoma wote A level na chuo.
ukiona hivyo ujue aliuza cheti. ...yani jina lake linatumiwa na mtu mwingine
 
Back
Top Bottom