Ana roho ya usagajiHabari ya kwenu jamani,
Naomba ushauri juu ya suala hili, nina rafiki yangu wa kike yeye anasema mara kwa mara amekua akiota anafanya mapenzi na wanawake tofauti tofauti, yani anaweza akaota anafanya romance na huyo mwanamke, lakini sura haionekani.
Pia amekua anaota anataka kufanya mapenzi na wanaume ila sura hawaoni ila anauwezo wa kushuka uume wao na anaota kama vile yuko nao live. Sometimes hao wanaume huwa wanakuja kwa sura ya kaka yake.
Je, inawezekana akawa ikawa ndio jini mahaba? Au ni kitu gani na je nimpe ushauri gani juu ya suala hili?
Na pia anasema katika maisha ya kawaida hata akifanya mapenzi na mwanaume hajawahi kusikia raha yoyote, je inawezekana ni hilo jini ndio limemshikilia.
Naombeni maoni yenu wadau nijue tunamsaidiaje mdada huyu.
Asanteni.
Hii ndoto ya fisi wengi napambana nao ndotoni ile wamekaribia kunizidi nguvuuuuuuuu nimeshituka moyo unadunda balaa.Mimi kuna hizi ndoto unapambana na paka mdogo au kambwa kadogo yaani unavipiga kweli kweli lakini havifi
Vinakung'ata kwa kung'ang'ania balaa ukija kustuka usingizini ndio afadhali yako.
Juzi jumapili limekuja li fisi leupe ndotoni tumembana sana hadi nikastuka.
Mimi ni shuhuda pia nimeota nipo nje ya mjii kidogo Kuna ghorofa kuu kuu Mimi na mdogo angu wa kike.[emoji28][emoji28]mkuu bhana niliwahi puuza ndoto kumbe inamaana kubwa sana juu ya tukio lilikojua kutokea mbelee
UnawindwaMimi ni shuhuda pia nimeota nipo nje ya mjii kidogo Kuna ghorofa kuu kuu Mimi na mdogo angu wa kike.
Ghorofa lipo kwenye ujenzii Kuna kitu mdogo angu akadhulumiwa Mimi nikamwambie TWENDE nipeleke nikakuchukulie tukapandisha ghorofani kufika sehemu wao wakapita Mimi njia ikawa finyu nikashindwa kupanda
Kwenye pilika pilika nikadondoka ghorofani kufika chini vizuri sana kulikua na ka pori porii nakutana mafisi mengi Nika Anza kuyatoa baruu mtanange mkali mpaka nikachoka ile yamenikalibia nikashituka usingizinii na hema sanaa
Nitafute msaada wa haraka saana maaana Yale mafisi yalikuwa na njaa Kali nimepambana nayo with empty handUnawindwa