Old guard

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
1,488
2,695
Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako.

Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao hilo hawalijui.

Hakuna kitu kitamuumiza mwanaume kama atambue huyu demu/mwanamke wake/mke alishawahi kutoa kwa mpalange.

Na kuna baadhi ya wanawake wengine wanapata ujasiri kabisa ukiwa nao faragha wanakuuliza maswali ya kimtego ili wajue ni mpenzi wa hayo mambo ili wakuachie tundu.

Wanawake wengi wao wanachomoa(wamechomoa)mimba sana hii pia nayo ni changamoto sana kwa hiki kizazi cha sasa.

Haya ni mambo ambayo huwa yanaumiza sana sana kwa sisi wanaume endapo yakitokea kujua(background) huwa INAUMA na KUVUNJA MOYO.

Utafiti wangu katika wanawake 10 bhas wanawake 4 katika 10 wameshashiriki mapenzi na kinyume na maumbile hii ni mbaya sana kidini na kiafya.

KATIKA JAMBO LA KUHITAJI MWANAMKE WA MAISHA INAKUPASA UMLIMLIE MOLA WAKO SANA KAMA MUISLAM SWALI SANA HUKU UKIOMBA HILO NA KAMA MKRISTO BHAS NENDA KANISANI.

ONYO KWA WADADA: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo hapo unajidanganya hakuna mwanaume mwenye akili hizo kama yupo bhas jua huyo ni TAHIRA MWENZIO.

1623392592299.png

Zaidi soma: Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?
 
Umeshajiuliza Kwann unaumia ukifahamu mkeo alikuwa anatumiwa kupitia njia tofauti?

UTAKUFA MAPEMA KISA MWANAMKE. FURAHIA MAISHA ULIYOPEWA USIWEKE FURAHA YAKO KWENYE MAUNGO YA BINADAMU MWINGINE.


DUNIA ISHAKUWA TOFAUTI SANA HAYO MAMBO UNAWEZA SHANGAA HATA BINTI YAKO ANAYAFANYA.
 
Umeshajiuliza Kwann unaumia ukifahamu mkeo alikuwa anatumiwa kupitia njia tofauti?

UTAKUFA MAPEMA KISA MWANAMKE. FURAHIA MAISHA ULIYOPEWA USIWEKE FURAHA YAKO KWENYE MAUNGO YA BINADAMU MWINGINE.


DUNIA ISHAKUWA TOFAUTI SANA HAYO MAMBO UNAWEZA SHANGAA HATA BINTI YAKO ANAYAFANYA.

Point kubwa ni kumuomba Mola akupe mwanamke mchamungu(msafi wa kiroho na kimwili) ilana ww hakikisha unakuwa msafi
 
Nakazia mwanaume yeyote anayemwomba mwanamke mchezo huo hajiheshimu,hajitambui,haijui thamani yake kama mwanadamu,vipi akuheshimu ,akutambue na aijue thamani yako wewe kama mwanadamu,bidada? love your self girls and women out there.Mwanaume akupendaye kwa dhati kamwe,narudia tena KAMWE hawezi kukuomba mchezo mchafu kama huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom