Lol!....hizi ni nukuu (quotes) mbaya kabisa ndani ya siku 427, sawa na mwaka 1 na siku 62 pekee mara baada ya kuapishwa kuwa Rais hapo tarehe 5/11/2015!!

Sina hakika akimaliza siku 1,825 sawa na miaka mitano atakuwa amemwaga upupu wa kiwango gani tu hata kuweza kutunzwa kwa kumbukumbu za baadaye ili vitukuu vyake vije kuona jinsi babu yao alivyokuwa anafyatuka hovyo....

Kwangu mimi, watoto wangu na watoto wa watoto wangu hawana lolote lililo bora la kujifunza na kuliweka ktk library zao za kichwani na zile za mbao toka kwa huyu jamaa, zaidi kuwa, nitawafundisha kwamba huyu ni miongoni mwa marais wa hovyo kabisa kuwahi kutokea kuongoza taifa hili.....

Umenena kweli na kwa uchungu mkubwa lakini nenda taratibu mzee,usijenaswa kwa ku post maudhui yenye maudhi kwa mfalme.Hivi humu hamna wazee wa miwani myeusi(nyoka) wasije wakakutia nguvuni kisha zako korodani(kokwa) wakazibondabonda kwa mawe.sio watu wazuri wale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom