Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES) | Page 21 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tikatika, Jan 8, 2017.

 1. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2017
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,672
  Likes Received: 2,207
  Trophy Points: 280
  Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka kuweka kumbumbuku ya maneno mazuri ya mheshimiwa Rais Magufuli.

  Duniani tuna nukuu (quotes) zawa watu maarufu kama Martn Luther king, Jr. Abraham lincoln na wengine wengi. Kwa hapa kwetu tuna nukuu za baba wa taifa mwalim Nyerere.

  Sasa ni wakati mwafaka kuweka nukuu zake kwenye uzi huu. Usihofu iwe mbaya masikio mwako au iwe nzuri wewe weka tu maana lolote analo litamka mkuu wa nchi linapaswa kutunzwa.

  Naweka maneno mawili matatu kuanzisha ukurasa wa maneno ya mkuu wetu.

  ''Mimi ni Rais wa maskini. Waliozoea kuishi kama malaika wataishi kama mashetani''.  ''Serikali yangu haitawapa chakula. Kila mtu atabeba msalaba wake.
  Njaa haijaletwa na serikali''.
  Hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote.
  Na sisi hatujengi.  ''Hakuna kufanya za siasa mpaka 2020''.
  ''Siwezi kuwashirikisha wapinzani kwenye serikali yangu.
  Nakushangaa Shein kuwaingiza wapinzani''.  ''Sijawahi kutamka katiba kwenye kampeni zangu za kuomba urais.
  Katiba sio kipaumbele changu. Kwa sasa nainyoosha nchi kwanza''.


  ''Police mkukita mtu anaendesha gari kwenye njia ya mwendo kasi,
  ng'oa tairi uzeni''.  ''Watoto watasomeshwa bure kwenye utawala wangu
  hivyo fyatueni watoto wengi maana watasoma bure''.  Haya ni machache kati ya mengi aliyowahi kuyaongea. Ni wakati mwafaka kuweka maneno yake hapa.
  =========

  TAZAMA VIDEOS ZA SPEECHES MBALIMBALI ZA RAIS MAGUFULI

   
 2. A

  Adili JF-Expert Member

  #401
  Jan 9, 2017
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 2,015
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Ni wazo zuri. Je for posterity, unaonaje kama ungeongeza tarehe na mahali alipotuachia tunu zake.Hata quotation ya gazeti inafaa pia.
   
 3. yello masai

  yello masai JF-Expert Member

  #402
  Jan 9, 2017
  Joined: Jan 8, 2016
  Messages: 1,674
  Likes Received: 1,066
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri mkuu. Ngoja niliweke kichwani nitalifanyia kazi. Japo nahofia usalama wangu
   
 4. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #403
  Jan 9, 2017
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,672
  Likes Received: 2,207
  Trophy Points: 280
  Boss quotes sio lazma iwe na tarehe wala mahali alipoongea. Angalia nukuu za watu wenye akili hiz hapa. Hazna tareh lakn mpaka kesho zinaishi.
  Ngoja tuztunze na za huyu mheshimiwa kama zitaishi miaka 50 ijayo!

  Solve Problems

  We cannot solve our problems with the same thinking we used when we created them.

  Einstein Quotes -

  [​IMG]
   
 5. MWONA MBALI

  MWONA MBALI JF-Expert Member

  #404
  Jan 9, 2017
  Joined: Oct 7, 2016
  Messages: 395
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 80
  WALIODAHILIWA PALE DODOMA NI VILAZA
   
 6. kivuma

  kivuma Member

  #405
  Jan 9, 2017
  Joined: Aug 5, 2016
  Messages: 34
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15

  Let me recommend you this application

  Automatic Call Receiver - Android Apps on Google Play


   
 7. l

  lussajo Member

  #406
  Jan 9, 2017
  Joined: Aug 20, 2016
  Messages: 30
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Na huu ndiyo uungwana na sio umagu
   
 8. M

  MABAKULI JF-Expert Member

  #407
  Jan 9, 2017
  Joined: Oct 4, 2015
  Messages: 761
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 80
  UNAJUA LIPUMBA WEWE NAKUAMINIA SASA MIE NAENDA KUWAFUMANIA PALE LUMUMBA WEWE KAKAE BUGURUNI ILI SEIF AISHIE PEMBA TU
   
 9. M

  MABAKULI JF-Expert Member

  #408
  Jan 9, 2017
  Joined: Oct 4, 2015
  Messages: 761
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 80
  UNAJUA LIPUMBA WEWE NAKUAMINIA SASA MIE NAENDA KUWAFUMANIA PALE LUMUMBA WEWE KAKAE BUGURUNI ILI SEIF AISHIE PEMBA TU
   
 10. shiu yang

  shiu yang JF-Expert Member

  #409
  Jan 9, 2017
  Joined: Sep 16, 2016
  Messages: 2,257
  Likes Received: 3,852
  Trophy Points: 280
  Na mshahara wa mwezi huu nataka niwahakikishie wafanyakazi.
   
 11. W

  Waziri kivuli JF-Expert Member

  #410
  Jan 9, 2017
  Joined: Nov 30, 2016
  Messages: 2,315
  Likes Received: 2,499
  Trophy Points: 280
  Katerero
   
 12. The Kop

  The Kop JF-Expert Member

  #411
  Jan 9, 2017
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 208
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Nionyeshe anaekutisha uone kama anachukua hata dakika moja
   
 13. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #412
  Jan 9, 2017
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 14,445
  Likes Received: 12,625
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 14. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #413
  Jan 9, 2017
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,606
  Likes Received: 6,773
  Trophy Points: 280
  Kwa kihehe wanasema kamwene
  Kwa kimasai wanasema yero subai.
   
 15. PMsechu

  PMsechu Member

  #414
  Jan 9, 2017
  Joined: Nov 12, 2016
  Messages: 73
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 25
  Tanzania sio Maskini..
   
 16. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #415
  Jan 10, 2017
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,672
  Likes Received: 2,207
  Trophy Points: 280
  Baada ya muda mfupi wanatengua tena et tulikosea . Mlikosea huku mmechukua miez minne kuwatafuta??
   
 17. GANG MO

  GANG MO JF-Expert Member

  #416
  Jan 10, 2017
  Joined: Dec 6, 2016
  Messages: 1,058
  Likes Received: 1,098
  Trophy Points: 280
  Kuna ile quote. Alisema sadam husen ni wa nchi gan? Nkumbushen wadau
   
 18. Laface77

  Laface77 JF-Expert Member

  #417
  Jan 10, 2017
  Joined: Jul 9, 2008
  Messages: 1,302
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Sadam Hussein ni raisi wa Libya!
   
 19. white hat

  white hat JF-Expert Member

  #418
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 16, 2016
  Messages: 2,945
  Likes Received: 1,997
  Trophy Points: 280
  Gadaffi wa kuwait
   
 20. white hat

  white hat JF-Expert Member

  #419
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 16, 2016
  Messages: 2,945
  Likes Received: 1,997
  Trophy Points: 280
  "Nchi hii ilikuwa imepinda"
   
 21. white hat

  white hat JF-Expert Member

  #420
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 16, 2016
  Messages: 2,945
  Likes Received: 1,997
  Trophy Points: 280
  "........ nitalala nao mbele"
   
Loading...