Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES) | Page 22 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tikatika, Jan 8, 2017.

 1. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2017
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,672
  Likes Received: 2,207
  Trophy Points: 280
  Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka kuweka kumbumbuku ya maneno mazuri ya mheshimiwa Rais Magufuli.

  Duniani tuna nukuu (quotes) zawa watu maarufu kama Martn Luther king, Jr. Abraham lincoln na wengine wengi. Kwa hapa kwetu tuna nukuu za baba wa taifa mwalim Nyerere.

  Sasa ni wakati mwafaka kuweka nukuu zake kwenye uzi huu. Usihofu iwe mbaya masikio mwako au iwe nzuri wewe weka tu maana lolote analo litamka mkuu wa nchi linapaswa kutunzwa.

  Naweka maneno mawili matatu kuanzisha ukurasa wa maneno ya mkuu wetu.

  ''Mimi ni Rais wa maskini. Waliozoea kuishi kama malaika wataishi kama mashetani''.  ''Serikali yangu haitawapa chakula. Kila mtu atabeba msalaba wake.
  Njaa haijaletwa na serikali''.
  Hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote.
  Na sisi hatujengi.  ''Hakuna kufanya za siasa mpaka 2020''.
  ''Siwezi kuwashirikisha wapinzani kwenye serikali yangu.
  Nakushangaa Shein kuwaingiza wapinzani''.  ''Sijawahi kutamka katiba kwenye kampeni zangu za kuomba urais.
  Katiba sio kipaumbele changu. Kwa sasa nainyoosha nchi kwanza''.


  ''Police mkukita mtu anaendesha gari kwenye njia ya mwendo kasi,
  ng'oa tairi uzeni''.  ''Watoto watasomeshwa bure kwenye utawala wangu
  hivyo fyatueni watoto wengi maana watasoma bure''.  Haya ni machache kati ya mengi aliyowahi kuyaongea. Ni wakati mwafaka kuweka maneno yake hapa.
  =========

  TAZAMA VIDEOS ZA SPEECHES MBALIMBALI ZA RAIS MAGUFULI

   
 2. m

  mtoto wa maskini JF-Expert Member

  #421
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 28, 2013
  Messages: 1,154
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  sasa hao mafisadi wapo CCM wengine wana vyeo bungeni iyo mahakama itamshika nani? iyo ilikuwepo ki siasa tu tena kwa kumuogopa Lowasav
   
 3. goddy shaneyl

  goddy shaneyl Member

  #422
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 25
  • "Natamani siku moja Malaika washuke hata waifungie hii mitandao ya kijamii......."
  • "Ole wake mtu atakayeleta fyokofyoko........sijaribiwi"
   
 4. kivava

  kivava JF-Expert Member

  #423
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 2, 2013
  Messages: 5,062
  Likes Received: 3,496
  Trophy Points: 280
  "watu wanaendekeza sana 'corrugation' "
  . (akimaanisha corruption)
   
 5. Kwetu-Tz

  Kwetu-Tz Member

  #424
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 17, 2016
  Messages: 80
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 25
  atakayemcheleweshea mwanafunzi mkopo....hana kazi.
   
 6. KijanaHuru

  KijanaHuru JF-Expert Member

  #425
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 7, 2017
  Messages: 248
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  .................................Katereroooooo..................
   
 7. WirelessBrain

  WirelessBrain JF-Expert Member

  #426
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 11, 2016
  Messages: 908
  Likes Received: 1,144
  Trophy Points: 180
  "Nitamtafutia kazi nyingine" -2015,16,17...
   
 8. K

  Kihava JF-Expert Member

  #427
  Jan 11, 2017
  Joined: May 23, 2016
  Messages: 1,783
  Likes Received: 1,297
  Trophy Points: 280
  1. Mimi na Mhimili wangu tuna mizizi mirefu kuliko mihimili minginem ambayo tunaipa fedha na kuwapa maelekezo mengine.
  2. Hatupeleki chakula kwa watu walio kwenye sehemu zenye kijani
  3. Wewe Shein kwa nini unatumia mkono wako kutia sahihi ili mtu fulani apata mafao wakati alikataa kuupokea huo mkono?
  4. Watu wengine huku Zanzibar ni wa kutumbukizwa kisimani kabisa ili wanywe maji mengi wakome.
  5. Angalieni kilichofanyika kwa Gadaffi wa Iraq. Msiwasikilize wanaotaka kutupeleka huko
  6. Hakuna mtu wa kuleta vyokofyoko kwangu
  7. Wewe mkurugenzi wa NHC endelea kubomoa na kunyang'anya nyumba kama ulivyofanya kwa yule jamaa wa Bilicanas
  8. Nyie mahakama mmalize kesi mapema ili niwape mgao wa faini
  9. Shilingi elfu tanotano wanazochukua trafic siyo rushwa. Ni fedha ya kusafishia viatu tu.
  10. In my behalf
  11. Wewe Makonda endelea kutumbua tu, mimi nipo nyuma yako. Natamani wakuu wa mikoa wote wawe kama wewe.
  12. Wale walioimba sijui wana imani na nani, ningekuwa mimi ningewamaliza hata nusu yao.
  13. wanaolalamika maisha magumu walizoea kupiga dili. Ni wapiga dili hao.
  14. Nitakausha fedha hadi kwenye nyumba za ibada
  15. Wale wanafunzi wa Udom ni vilaza
  16. Wale waliokuwa wamehamia upinzani na kurudi tunatambua ni ng'ombe wasio na mikia.
  17. Watumishi wote wa umma bosi wao ni CCM, asiyekubali hilo aache kazi.
   
 9. mwaibangi

  mwaibangi Member

  #428
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 9, 2017
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wanaopanga migomo watangulie wao watakiona
   
 10. M

  Mindi JF-Expert Member

  #429
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 5, 2008
  Messages: 1,393
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Kutoka Hotuba ya Kagera baada ya tetemeko:
  1)Likitokea tetemeko jingine Chato? nako nikawajengee nyumba?

  2) Wanakagera...Nawapenda, nawapenda Kweli Kweli!!

  3) Na ndio maana nikamchagua waziri wa viwanda kutoka huku (Kagera) Mzirankende! Ili vijengwe viwanda vingi!

  4) Kiwanda sio lazima kiwe kikubwa...hata cha kuchomelea makarai NI KIWANDA!!

  5) Natoa challenge kwako Mheshimiwa Rwakatare, tafuta wawekezaji, uanzishe kiwanda pale Kyerwa, uza matofali sh. 500 kwa bati!! Kupanga ni Kuchagua!! Tuambizane ukweli!

  6) Na wale walioahidi kuchanga na hawajachanga, wazilete..ziko bilioni 4.5

  7) Kuna mashirika ya kimataifa waliahidi kuchanga, hawajachanga. wazilete hizo hela ili zimalizie shule zetu!
   
 11. p

  pilipili kichaa JF-Expert Member

  #430
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 3, 2013
  Messages: 6,315
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Tuaona na kusikia mengi safari hii
   
 12. T

  Tulimumu JF-Expert Member

  #431
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 11, 2013
  Messages: 7,449
  Likes Received: 2,944
  Trophy Points: 280
  "... mnyauko wa migomba,Kagera..."
   
 13. lopee

  lopee Member

  #432
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 17, 2016
  Messages: 82
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  Hahahaha
   
 14. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #433
  Jan 11, 2017
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,672
  Likes Received: 2,207
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 15. georgemwaipungu

  georgemwaipungu JF-Expert Member

  #434
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 7, 2015
  Messages: 2,778
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Rais amekuwa na maneno mengi ya kuwatia moyo wanaccm
   
 16. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #435
  Jan 12, 2017
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,672
  Likes Received: 2,207
  Trophy Points: 280
  Magazeti yanayosema kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanya biashara. Mimi nasema hakuna njaa.

  Rais JPM
   
 17. ngomeu

  ngomeu JF-Expert Member

  #436
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 27, 2016
  Messages: 297
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 60
   
 18. ArchAngel

  ArchAngel JF-Expert Member

  #437
  Jan 12, 2017
  Joined: Oct 11, 2015
  Messages: 1,769
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  1. Wanaotangaza kuna njaa ni watu wanaolipwa pesa na wafanyabiashara na wanasiasa ili kusema nchi ina njaa na ukame wa kuuwa watu na mifugo.

  2. Anayejua kuna njaa nchi hii ni Rais,mimi ndio naejua wapi kuna njaa na wapi hakuna.Tanzania hii haina njaa wala watu hawana njaa,
   
 19. M

  Meshack Mwansasu Member

  #438
  Jan 12, 2017
  Joined: Dec 31, 2016
  Messages: 12
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Hahaha
   
 20. halfan30

  halfan30 Member

  #439
  Jan 12, 2017
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 25
  Ninaweza kuwa si mwanasiasa mzuri , lakini kuna siku mtakuja kunikumbuka - Raisi John Joseph Pombe Magufuli.
   
 21. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #440
  Jan 12, 2017
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,672
  Likes Received: 2,207
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
Loading...