Make sure line uliosajilia nmb mobile ni line 1 kwenye simu. Ikigoma nenda clear data ya hio app alafu login tena. Kwangu ilikubali baada ya kuclear data ya hio app.
Simu yangu ni line moja tu nimejaribu imeshindikana
 
NMB KLINK NI APP MPYA NA YAKISASA? INAHITAJI SIM ILIYOSAJILIWA NMB MOBILE IWEPO (SIO TATIZO) ILA SIM HIYO NDIYO ITUMIKE KWENYE DATA! NI TATIZO KUBWA WASOMI HAMJALITAMBUA (SEHEMU ZINGINE UMAKUATA LAIN ULIYOSAJI MTANDAO HAKUNA. CAN YOU FIX IT?
Mwanangu afadhali kama umeliona hili nilishawaambia kitambo ila juzi wamefanya updtd hakuna kitu
 
Hahahhahahahahahha
 
Mwl unapata M2.9 baada ya makato yote?
Ngoja wajuzi waje,hapa kuna harufu ya fix...
 
Iliwahi kunikuta,Nmb wako very local,old fashion kbsa,niliingiziwa 35 elfu zngne zkazuiwa siku nzima,kuwafuata wakaniambia ww wa salary advance pesa yako mpaka kufikia jioni utakua umeipata,ilikuwa kweli,ila kwa usumbufu ule,sijawah kuomba tena hyo advanve mpk leo..
 
Wazinguaji saana hadi nashndwa elewa tatizo nin ni wataalamu hakuna au uzembe uvivu wa kufanya kazi
 
Wahusika wa NMB watu wanatoa maoni,ushauri na malalamiko mbali mbali lakini sioni mkijibu chochote. Isijekuwa watu " tunapaka rangi upepo"
 
Shukran kwa kuandaa hii thread :
Ombi langu ni kuhusu Internet banking system yenu

Kidogo Ipo complicated nu wazi kuwa lengo ni usalama lakini bado ni shida kwa maana kila unapohitaji kufanya muamala wowote lazima uwe na vitu vitabu kwa wakati mmoja yaani Computer , Kale kadude ka password na simu ni usumbufu

Angalieni wenzenu wa CRDB ni kimoja tu kinamaliza kila kitu aidha SIMU au Computer

Bado program siyo rahisi kivile kuna vitu vya kukalili hasa kwenye TISS kutuma pesa kama //

Tafadhali nitafurahi kama nitapata mrejesho wa huu ushauri wangu
Mteja wenu xxxyyyzzz
 
Mastercard zenu kwann hazifanyi online transactione nimekuja ofisini kwenu c chin ya mara tatu ni kujazishwa mafomu tu na kuambiwa ndan ya masaa 24 utapata meseji utasubiria had mwaka hakuna k2!
 
Kuna mzee mmoja alikopa mkopo mwaka 2014 huko njombe akiwekeza hati ya nyumba mpaka leo akienda kwa meneja anazungushwa tu njoo kesho kesho kutwa ngoja tunalishughulikia utapigiwa simu mbona kwenye ulipaji alimaliza deni lote anasema tatizo lenu nn

Wahudumu wenu wa mjini iringa hiyo ni changamoto nyingine hasa tawi LA mkwawa looh wanaweza ondoka mmeachwa kwenye foleni haijulikan wameenda wapi hadi kwa robo SAA mnafeli wapi kuna haja gani ya kuwa na madirisha manne linalofanya kazi moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmb mnauza nyumba za watu kinyume na sheria ya aridhi na makazi, inakuwaje mnamdai mteja wenu wa muda mrefu million Tatu mnauza nyumba yake ya million 20?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahusika wa NMB watu wanatoa maoni,ushauri na malalamiko mbali mbali lakini sioni mkijibu chochote. Isijekuwa watu " tunapaka rangi upepo"
Hii bank imeshakuwa ya kuchukulia mshahara tu na kupeleka kwenye akaunti za bank nyingne kwa ku save kwa ajili ya baadaye na siyo kukopa wala kutunzia akiba NMB bank.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi jamani kuhusu hii app ya Klik mimi naona inasumbua sana iko slow mno
Mimi nina tatizo na nyie nmb yaani message alert ya pesa kwenye smu yangu mwezi acheni masihara nina tatizo nataka message alert kila pesa inapoingia kwenye acc yangu mwezi sasa form kibao nimejaza no action.taken
 
HIVI NYIE NMB MKOJE? JAMANI MI NATAKA KU CLEAR DENI LANGU LOTE LA MKOPO LILILOBAKI, ILA SASA NI WK YA PILI TANGU NIWAOMBE HIYO BARUA YA DENI LILILOBAKI, HV TATIZO NI NN?
UKIULIZA UNAAMBIWA MAKAO MAKUU BADO HAWAJATUMA TAARIFA, MNAKWAZA SANA, YANI SITORUDIA TENA KUKOPA KWENYE BANK YENU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo kitu hawatakagi kusikiaNMB watakuzungusha sana cjui kwa nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…