mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,691
NMB samahani kwa usumbufu nilikuwa natumia app yenu ya NMB click kama miezi miwili imepita hivi ila siku ya leo nilivyoifungua ikaniambia niiupdate sasa nilivyoiupdate nikasign in kutumia namba yangu ya simu ileile na Nmb pin ileile ila haifunguki inaniambia Use your original sim card kama inavyojionesha kwenye picha mnaweza kunisaidia kwa hili...???Karibu kufungua NMB Chap Chap Account, piga *150*66# na fungua akaunti sasa. Karibu Sana
Wewe kama Mimi ....nilikua naitumia vizuri sikuhizi wamekuja na hako ka tabia kao ka hovyo sasa najiuliza nimebadilisha nini sipati jibu...........ngoja tusubiri majibuNMB samahani kwa usumbufu nilikuwa natumia app yenu ya NMB click kama miezi miwili imepita hivi ila siku ya leo nilivyoifungua ikaniambia niiupdate sasa nilivyoiupdate nikasign in kutumia namba yangu ya simu ileile na Nmb pin ileile ila haifunguki inaniambia Use your original sim card kama inavyojionesha kwenye picha mnaweza kunisaidia kwa hili...???
View attachment 973902
NMB samahani kwa usumbufu nilikuwa natumia app yenu ya NMB click kama miezi miwili imepita hivi ila siku ya leo nilivyoifungua ikaniambia niiupdate sasa nilivyoiupdate nikasign in kutumia namba yangu ya simu ileile na Nmb pin ileile ila haifunguki inaniambia Use your original sim card kama inavyojionesha kwenye picha mnaweza kunisaidia kwa hili...???
View attachment 973902
Customer care kwa Tanzania zinaboa , customer care centers nyingi Tz haswa za mabenki na simu wamewekana ndugu humo.Walioshindikana huko makwao.Nilituma pesa kutoka akaunti yangu ya nmb kwa kutumia nmb mobile service. Kwenda M-Pesa. Mpaka sasa fedha imetoka kwenye akaunti yangu ya nmb lakini haisomi M-Pesa na hakuna meseji toka nmb kuonesha kuwa muamala umekamilika. Napiga cm huduma kwa wateja ck ya pili sasa hawapokei. Naomba wahusika mpokee cm za wateja ili mtatue changamoto zetu
Make sure line uliosajilia nmb mobile ni line 1 kwenye simu. Ikigoma nenda clear data ya hio app alafu login tena. Kwangu ilikubali baada ya kuclear data ya hio app.NMB samahani kwa usumbufu nilikuwa natumia app yenu ya NMB click kama miezi miwili imepita hivi ila siku ya leo nilivyoifungua ikaniambia niiupdate sasa nilivyoiupdate nikasign in kutumia namba yangu ya simu ileile na Nmb pin ileile ila haifunguki inaniambia Use your original sim card kama inavyojionesha kwenye picha mnaweza kunisaidia kwa hili...???
View attachment 973902
Hata mimi inanisumbua hii kitu..nipo kusubiri majibu ya nmb
View attachment 974326
Nielimishe kidogo kwenye hiyo clear data ipo sehemu ganiMake sure line uliosajilia nmb mobile ni line 1 kwenye simu. Ikigoma nenda clear data ya hio app alafu login tena. Kwangu ilikubali baada ya kuclear data ya hio app.
Nenda settings then apps fungua hio nmb klik utaona sehemu ya dataNielimishe kidogo kwenye hiyo clear data ipo sehemu gani
Nenda settings then apps fungua hio nmb klik utaona sehemu ya data
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Line uliosajilia ipo line 1 kwenye sim yako?Mkuu nimejaribu kuclear data na kusign in tena kutumia namba ileile na password ileile ila naona bado inagoma picha hiyo hapo chini.View attachment 975068
Simu yangu inatumia line mbili na niliyosajilia ipo line ya pili na ndo niliyosajilia hata kwa NMB mobile nikawa naitumia hadi pale majuzi kati nilivyoiupdate nika login ikagoma kabisa mpaka saivi.Line uliosajilia ipo line 1 kwenye sim yako?
Ndio maana nakwambia weka hio line uliosajilia kama line 1 then jaribuSimu yangu inatumia line mbili na niliyosajilia ipo line ya pili na ndo niliyosajilia hata kwa NMB mobile nikawa naitumia hadi pale majuzi kati nilivyoiupdate nika login ikagoma kabisa mpaka saivi.
Haya ngoja ntajaribuNdio maana nakwambia weka hio line uliosajilia kama line 1 then jaribu
Mkuu asante sana imekubali ila sijaelewa huo muunganiko wa kubadili line kwenda line 1 na hiyo NMB app umekaaje hadi kukubali.Ndio maana nakwambia weka hio line uliosajilia kama line 1 then jaribu
Ndio jinsi walivoitengeneza waoMkuu asante sana imekubali ila sijaelewa huo muunganiko wa kubadili line kwenda line 1 na hiyo NMB app umekaaje hadi kukubali.
Sa mbona NMB wamejitulia tu kwenye viti vyao wakibadili kitu hawajulishi watu badaye tunaanza kuhangaika.Ndio jinsi walivoitengeneza wao
Mimi niliyosajiria nmb mobile ipo lain one lakini bado naambiwa nibadili nashindwa kuelewa hapaNdio maana nakwambia weka hio line uliosajilia kama line 1 then jaribu