Karibu kufungua NMB Chap Chap Account, piga *150*66# na fungua akaunti sasa. Karibu Sana
NMB samahani kwa usumbufu nilikuwa natumia app yenu ya NMB click kama miezi miwili imepita hivi ila siku ya leo nilivyoifungua ikaniambia niiupdate sasa nilivyoiupdate nikasign in kutumia namba yangu ya simu ileile na Nmb pin ileile ila haifunguki inaniambia Use your original sim card kama inavyojionesha kwenye picha mnaweza kunisaidia kwa hili...???
Screenshot_20181221-172847.jpeg
 
View attachment 973902
Wewe kama Mimi ....nilikua naitumia vizuri sikuhizi wamekuja na hako ka tabia kao ka hovyo sasa najiuliza nimebadilisha nini sipati jibu...........ngoja tusubiri majibu
 
NMB samahani kwa usumbufu nilikuwa natumia app yenu ya NMB click kama miezi miwili imepita hivi ila siku ya leo nilivyoifungua ikaniambia niiupdate sasa nilivyoiupdate nikasign in kutumia namba yangu ya simu ileile na Nmb pin ileile ila haifunguki inaniambia Use your original sim card kama inavyojionesha kwenye picha mnaweza kunisaidia kwa hili...???
View attachment 973902

Hata mimi inanisumbua hii kitu..nipo kusubiri majibu ya nmb
Screenshot_2018-12-20-19-24-02.jpg
 
NMB mobile kitengo cha huduma kwa wateja mnatukwaza. Hampokei cm za wateja wenu. Tunaomba mlifanyie Nazi hili jambo please
 
Nilituma pesa kutoka akaunti yangu ya nmb kwa kutumia nmb mobile service. Kwenda M-Pesa. Mpaka sasa fedha imetoka kwenye akaunti yangu ya nmb lakini haisomi M-Pesa na hakuna meseji toka nmb kuonesha kuwa muamala umekamilika. Napiga cm huduma kwa wateja ck ya pili sasa hawapokei.

Naomba wahusika mpokee cm za wateja ili mtatue changamoto zetu
 
Nilituma pesa kutoka akaunti yangu ya nmb kwa kutumia nmb mobile service. Kwenda M-Pesa. Mpaka sasa fedha imetoka kwenye akaunti yangu ya nmb lakini haisomi M-Pesa na hakuna meseji toka nmb kuonesha kuwa muamala umekamilika. Napiga cm huduma kwa wateja ck ya pili sasa hawapokei. Naomba wahusika mpokee cm za wateja ili mtatue changamoto zetu
Customer care kwa Tanzania zinaboa , customer care centers nyingi Tz haswa za mabenki na simu wamewekana ndugu humo.Walioshindikana huko makwao.
 
NMB samahani kwa usumbufu nilikuwa natumia app yenu ya NMB click kama miezi miwili imepita hivi ila siku ya leo nilivyoifungua ikaniambia niiupdate sasa nilivyoiupdate nikasign in kutumia namba yangu ya simu ileile na Nmb pin ileile ila haifunguki inaniambia Use your original sim card kama inavyojionesha kwenye picha mnaweza kunisaidia kwa hili...???
View attachment 973902
Make sure line uliosajilia nmb mobile ni line 1 kwenye simu. Ikigoma nenda clear data ya hio app alafu login tena. Kwangu ilikubali baada ya kuclear data ya hio app.
 
Line uliosajilia ipo line 1 kwenye sim yako?
Simu yangu inatumia line mbili na niliyosajilia ipo line ya pili na ndo niliyosajilia hata kwa NMB mobile nikawa naitumia hadi pale majuzi kati nilivyoiupdate nika login ikagoma kabisa mpaka saivi.
 
Simu yangu inatumia line mbili na niliyosajilia ipo line ya pili na ndo niliyosajilia hata kwa NMB mobile nikawa naitumia hadi pale majuzi kati nilivyoiupdate nika login ikagoma kabisa mpaka saivi.
Ndio maana nakwambia weka hio line uliosajilia kama line 1 then jaribu
 
Muwe na utaratibu wa uhakika kuhusiana na makato ya NMD SALARY ADVANCE...

ile tabia unatoka mshahara alafu mnauzuia woote kwa muda hata masaa mawili ili tu mkate laki yenu sio poa...

Weken system vizuur... Pesa ikizama tu iwe ishakatwa juu kwa juu... Mshahara mnauzuia wa nin unajua ni mda gani mtu kakaaa anasuburia pesa yake....???

Unaskia mshahara umetoka unatoka bush huko ndan ndani unafika bank fasta utoe pesa ugeuke bush...

Unakuta mshahara woote umezuiliwa... Unaanza kusimama unashangaa mji... Unaaachwa na bus.. Unahangaika pa kulala.. Unatafutwa kazini siku ya pili...

Yaaani ni usumbufu usiokuwa na sababu tu.

Huu ni uzembe saaana.
 
77 Reactions
Reply
Back
Top Bottom