Cha kukuambia kaza butiNi zaidi ya cha R chuga
Haya kwetu si wachimba chumvi tunaelewaHiyo ni chumvi yako umeongeza
Acha kuwa mtu unayeamini kila kitu kwenye social media.. Fatillia kwa undani ujue influence na career yakeJaden alisema anampenda Tyler.
Hakuna Mtu ambaye hajiamini na kujikubali. Ndio maana kila mtu anajitunza.
Alaf kujiamini kwako mtu mwingne anachukiaje?.
Inshort wewe huna akili, akili zako zote zinategemea outside source ndo zifanye kaziNilitaka kupima Je ni kweli?.
Amesema kuwa Maneno na mawazo ya watu anayaheshimu na hatingishiki nayo.
Angekuwa matured enough asingetukana tukana . Angedeal nayo in other way.
Mi nimeamua kumaliza kihivyoMaliza sentensi usiwe insecure