min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,626
- 164,913
Hakuna sehemu alisha sema hivyo, mtu akishajiamini ,na kujikubali wamatumbi wengi huwa hawapendi , na hiyo ipo mpaka kwenye mafanikio ya kiuchumi .Dah. Okay basi tushamuelewa.
Nakumbuka pia Huyo role model wake (Jaden) alishasema anavutiwa na msanii wa kiume na ni mpenz wake.
Ameshaivuka hofu. Soon atajitangaza 😎😎😎😎
Na kwa sababu yeye kasema ni kama maji. Basi Wenye Kiu watayanywa.