Elevenn
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 9,915
- 19,640
- Thread starter
- #81
Umeanza kutafuta comfort sio?kucheka siachi maana ni hulka yangu😆😆,, karibu tandale wanunuzi wapo wa kutosha mai au utoe location nikutumie
Nina kwambia je? Wewe na wenzako mtaishia kuwa vidampa vilivyo choka na msipate mafanikio yoyote
Usiwe unaleta insecurity na kutia huruma kwa Wanaume wanaojielewa wafwate hao hao wanaokupa makongolo kama zawadi