harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,242
- 3,318
Yeah, the cover of the book would sometimes reflects some few chapters of the bookOk 👌 but what I write does not encapsulate everything
Yeah, the cover of the book would sometimes reflects some few chapters of the bookOk 👌 but what I write does not encapsulate everything
Hiyo ni skanka kaivuta ishaanza kuvundaYani umeandika kama mimi kabisa nikishavuta bangi mbichi.
Hizo ni midundiko ndani ya ubongo wakoNilikuwa nadhani wazungu ni wajinga kumpongeza mtoto waliyemzaa even akijamba utaskia " Woooow biutifu biutifu That's great unh"
Grandiosity -- Narcissist.
Mjomba we mgonjwa tangu utoto.
Unadhani kila aliye humu anakaa hapo Shamba la Mkoloni.Hizo ni midundiko ndani ya ubongo wako
How can you dare imagine a life of someone you never met? Sasa hapo mwenye shida ni mimi au wewe?
Au ni dhamiri (conscience) imekufa? Fanya uchunguzi zaidi.Kwa level niliyo ifikia Itoshe kusema mimi ni mtu maarufu zaidi katika hili jukwaa kwa sasa
Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote..
Nimesha vuka fear, ni naweza kuhandle presha na maneno ya watu, hakuna anyeweza kuni challenge na kunitoa mchezoni.
Siongei haya Kujitamba mimi ni bora zaidi ya wengine... Bali najiona kuwa am a king in my own world. Am not conforming to other's point of views but also respecting them for their views.
Hakika when you surpass, fear you start truly living...
Most people out here are just surviving, controlled by their 9 to 5 jobs, controlled by desires, by their relationships.. They are afraid to be free because they'll loose their worth.
Siko hapa kujitapa ila hii ni affirmation kwangu ya kwangu.
Ukiona umekuwa triggered basi tatizo sio langu ni lako.