NDO Limited was an Internet service provider (ISP) in the United Kingdom. Originally established in 1995, originating from NetDirect which was one of the first ISPs in the UK.
Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame.
Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea.
Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm
Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
Salaam wakuu.
Kama heading inavyojieleza, kwa siku ya leo barabara haina msongamano kabisa hivyo kama una road trip yako na gari yako binafsi leo ilikua siku safi sana ya kutembea na kuipima mapafu chuma yako bila ya usumbufu wa manjagu.
Nawasilisha
Salam wakuu. nisiwachoshe moja kwa moja kwenye mada
Wakuu kuna binti nimekuwa nae karibia miezi sita
Sasa miezi kama miwili iliyopita aliniambia mara nyingi amekuwa ni mtu wa kujisikia hovyo, nikamuuliza anijisikia hovyo kivp
Akasema amekuwa ni mtu kuhisi kichefuchefu, muda mwingine...
Mama Dr Samia suluhu Hassano, nina tumah u mzima wa Afya, na umemaliza Eda ya kifo cha mumeo salama salimini.
Nina uhakika mwenyezi Mungu Baba Wa Mbinguni atakuwa amepokea dua zako ulizokuwa unamwombea Mumeo.
Dr Samia suluhu Hassani mimi ni mtanganyika, mkazi wa kanyigo, jumapili ya leo...
Nathani BASATA hawapewi ruzuku na Serikali. Wanaishi kwa Jasho la Wasanii kwa kuwapiga faini kisha wanalipana Posho.
Sababu za BASATA kupiga watu fani huwa hazieleweki. Wakikuona umepata hela, wanasubiri ukohoe.
Godfrey Tumaini (Dudubaya) hatishwi na na kufungiwa. Alikaa bila nyimbo zake...
Kwenye vitabu vya kale vya historia, kuna siri moja iliyobaki kwenye kurasa za zamani: Wakati Mfalme Daudi alipokuwa mzee sana na mwili wake ukikosa joto, washauri wake hawakumletea nguo nene za sufu.
Walimtafuta binti mbichi kabisa aitwaye Abishag ili alale naye.
Lengo halikuwa tu...
Katika podcasts na Fatma Dewji. Jamaa kafunguka how alibreak generational curse. Your background does not define you.
🗣️"Kiukweli ukitokea Kalksteenfontein, ni eneo ambalo sio rahisi kwa ukuaji, soka lilinisaidia kuepuka maisha ya kihuni na ujambazi.
Sijawahi kulizungumzia hili ila hata...
Wadau habari zenu,
HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari
Wanasheria na wadau...
asigombee
hatia
hii
hukumu
igp
jwtz
katika
kauli
kiongozi
kusema
lengo
lisu
mkuu
mkuu wa
msamaha
mvua
nafasi
nchi
ndo
rais
upepo
wanataka
wateule
wateule wa rais
wote
Ukisikia mtu ana canser ndo anakumbuka kuanza yale malengo makubwa...
Mtu akifiwa na mtu wa karibu ndo ana anza kujali wwngine
Mtu akipata na ajali na akaepuka kifo ndo anaanza kurudia muumba
Mtu akikutwa na ugonjwa usiotibika ndipo anaanza kujitoa kwenye charity organizations ili awe msaada...
Kama hizi mbinu zote mmefeli
CHADEMA ni dude kubwa
1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja
2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia
3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo
4.Complomise>Kila upande kutoa...
ccm
chadema
chama
chama cha siasa
dead
imara
kuolewa
malalamiko
mali
maneno
michezo
ndani
ndo
sana
sanaa
sanaa na michezo
siasa
siasa ccm
viongozi
wanawake
waziri
waziri wa sanaa
1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu. Ndejembi naye ni haramu.
Kwa sasa nchi haina uongozi ulio halali na uliopewa ridhaa ya kuongoza na wananchi.
Watu wanaomuita huyo Samia ‘Rais’ wanakera sana na ni...
Kuna kisa kimetokea manyuzi tu na kimenifanya lile wazo langu la kuoa mwanamke asiye mwafrika kuzidi kukomaa... (Sidhani kama Nitakuja kuoa mbongo au mwafrika)
Unajua nini, ukweli usemwe tu wanawake wa huku Africa ni vichomi. Sio kwa ubaya ila ni kitu ambacho kinazidi kudhihirika..
Ni hivi...
Salaam,
Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu.
Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo.
1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
Huyu mzee kwa sasa ndiye pekee amebaki akiwa na spirit ya Kiafrika na Upendo kwa nchi yake. Amekataa kugeuka kuwa jiwe la chumvi.
Ipo mizee ya hovyo ambayo ilishaamua kuusaliti umma wa Watanganyika. Imekaa kuangalia matumbo yao na vizazi vyao. Mzee Warioba yeye hajaamua kushiriki huo ushetani...
Tuchukulie kwa mantiki ya hoja, bila kuamua kwanza kama tuhuma hizo ni za kweli au za uongo.
Ikiwa kweli CHADEMA ingekuwa imepanga kuipindua Serikali, swali muhimu sana ni:
CHADEMA INGEPATA FAIDA GANI?Kwa sababu kuipindua Serikali hakumaanishi kwamba CHADEMA moja kwa moja ingeichukua...
Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD.
Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana na Madereva tu.
‘Bandari kavu zina mizizi kwa...
Huwezi ukawa Mzee mwenye busara halafu ukawa chadema watu lazima wakushangae, kulikuwepo na wazee wenye hekima wote walikimbia baada ya kugundua kuwa chadema ni Chama cha matapeli wasiojali utu wa watu, kwahyo Mzee ulimwengu amekubali kutukanwa na watu chadema.
Kwa mfano: Uchaguzi wa ndani wa...
Baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi juu ya hawa viumbe wanawake nimegundua wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio wa ndoto zao, yaani wale ambao wanawapenda na yote haya yanatokea kwasababu kadhaa;
Namna sisi wanaume tunavyotafsiri ndoa sivyo wao wanavyotafsiri ndoa. Mwanaume...
Wakuu mnakumbuka Siku za mwishoni kuelekea KIFO chake, Magufuli alitindiganya mambo sanaaa akaharibu kwelikweli
Picha ileile , Inarudi kwa Mzanzibar , Mzanzibar katindiganya mambo sanaaa + Uislam + umbumbumbu basi daaah kayatiganya haswaa.
Jambo Moja la uhakika 100%, Mungu kanionesha Usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.