Nimeshavuka hofu

Nimeshavuka hofu

Tutarajie atatoka Public soon.

Kama Alishakiri na kusema role model wake ni Jaden (kwa dp yake), na anapenda vitu anavyofanya.
Na Jaden huwa anavaaga nguo za kike.

Haya nakuachia kumalizia......
Akili yako ni taka taka kwa taifa
Huna thamani ya aina yoyote duniani.

Hujui kusudi lako kama kiumbe chenye akili
 
Akili yako ni taka taka kwa taifa
Huna thamani ya aina yoyote duniani.

Hujui kusudi lako kama kiumbe chenye akili
😎😎😎😎 Naona Kisukari kimekupanda.

Nilitaka kuona kama ni kweli hiki ulichosema hapa chini
Am not conforming to other's point of views but also respecting them for their views

Na
, ni naweza kuhandle presha na maneno ya watu, hakuna anyeweza kuni challenge na kunitoa mchezoni.
 
wakati anaitwa de gunner kuna uzi alisema anavutiwa na watu wa jinsia moya japo yeye sio muumin can you imagine
Dah. Okay basi tushamuelewa.

Nakumbuka pia Huyo role model wake (Jaden) alishasema anavutiwa na msanii wa kiume na ni mpenz wake.

Ameshaivuka hofu. Soon atajitangaza 😎😎😎😎

Na kwa sababu yeye kasema ni kama maji. Basi Wenye Kiu watayanywa.
 
Back
Top Bottom