Nimepigwa na butwaa

Mimi huwa natumia popopote pale siogopi kitu Kuna demu nae alikuwaga anapiga jicho akaona Id yangu akaaanza kusema kumbe wewe ndio Vincenzo 😀😀
Kutumia huu mtandao bila kujulikana kuna raha yake Mkuu

Imagine unairushia vocal PisiKali ambayo unadate nayo huko Mtaani lakini kupitia ID yake ya humu unajikuta unaiomba tena 😜

Vijana mna hatari nyie balaa 😅
 
Namkaribisha. Karibu Mama yetu
 
Usinitishe mkuu...
Kwanza sizani kama mada zangu anaonga yaani yeye na umri wake aanze fatilia nyuzi zangu za kusifia mishangzi are we real
Sasa si kuna mada zinatrend unaziona tu, mbona Mimi na huu umri wangu ila bado nazionaga mada zako hizo😅😅😅
 
Nina mchepuko wangu mmoja ni mwalimu mkoa wa Pwani, wiki iliyopita nilimuwekea JF app na ku unistall Tik Tok na Instagram, ananishukuru kila siku kwani anakiri haboreki na data anatumia kidogo (3000 tsh. kwa wiki).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…