Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,721
- 6,441
Hana akili, ana halalisha ujinga kuelezea point muhimu. Point anayo ila amehalalisha point yake kwa kuongea pumba.Umekosea sana katika kujenga mada yako. Kuna fundisho kuwa huwezi kwenda juu kwa kumrudisha chini aliye juu, inabidi wewe upande juu zaidi yake. Kudharau kuuawawa kwa huyo kijana wa kitanzania huku akidhalilishwa kwa kupigwa video na hao maharamia ambao wamesababisha amani ivurugike siyo j\ni jambo la kawaida ni kukosa busara sana. Ni nani mwewingine aliyeuwawa hivyo na watu wa namna hiyo. Ungetafuta lugh nzuri ya kuhuji ben saanana bila kuhusisha na unyama aliofanyiwa kijano huyo. Yaani unataka ku-downgrade ubaya aliofanyiwa mbele ya dunia ili kukuza unaona wewe kuwa ndio ubaya zaidi ambao hakuna video ya kulinganisha bali speculations tu.