Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Anawezaje kurudi wakati wanaume wote wanamtetea mtu anayetaka kuvuruga na kuharibu maisha ya Loly?

Ila mie nashauri asijaribu kutoa mzigo kwa mtu mwenye mke wake tena ambaye kafeli mtihani wa kucheza na warembo?

Nikiona vijana wa kiume wanachemka kiasi hiki huwa natamani kurudi front line!!!

Hhaaa mkuu huyu Loly anasema jamaa ana mke..ishu ni vile eti ni kaka yake na rafiki yake ao 'anamheshimu sana'
 
Last edited by a moderator:

Ila pia ukimsoma zaidi, utagundua kwamba;
1. Loly bado ni kinda kwenye mambo ya ndani kabisa ya MMU. Kwa hiyo, anahitaji msaada ili aweze kupaisha GPA yake.

2. Huyo mwanamume ni mweupe. Ameshindwa mbinu mujarabu za kumlainisha mtoto mdogo, kinda bila kumsababishia stress. Alitakiwa awe na ujuzi wa kukamata akili na hisia zake hadi apatate anachokitaka. Amefeli na hastahili kupewe hata robo. Arudi jando kwanza.
 
Kaka siku hizi jando imekufa angekutana na Asprin unadhan angekuja apa?
 
Hapo sasa naona umenielewa mzee mwenzangu. Huwa hakuna habari kwenye mambo mema...its only bad news which makes news....!!

Hadi mtoto wa watu amejikunja kuanzisha uzi, ujue kateseka sana. Ilipaswa wanaume tuone aibu na kumuombea radhi mwenzetu anayechafua hali ya hewa.

Ndiyo maana ukiwa nahodha mstaafu halafu unaona watoto wanataka kuzamisha chombo unatamani urejee mwenyewe uokoe jahazi. Bahati mbaya vitu vingine havina reverse gear!!

Ila ukweli ni kwamba hawa wadogo zetu wanahitaji msaada.......Vilio kama hivi vinatuvua nguo sie wastaafu...!!
 
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?

sijaona baya wala la kushangaza hapo. kwani wewe ulitegemea kuolewa na mtu usiyemshimu? maisha ya ndoa huanza kwa style tofauti tofauti na katika mazingira tofauti tofauti. Sio kwa vile labda rafiki yako aliolewa na mtu aliyesoma naye basi na wewe unataka story yako ifanane naye......

maisha hayafanani.. sit down and think!!!!
 
Nini? Siwezi kabisa yaani sithubutu na sitothubutu kitu kama hicho ili mwisho wake ijekuwaje sasa?

Siku ukimuona na demu mwingine ndio akili yako itakaa sawa. Naona kama unachezea bahati ya Mtende kuota jangwani. Umeshasema jamaa hana time na ladies wengine wakali, ila kakutokea wewe huoni kama ni husband material huyo! Karagabaho!
 
Kama hauna uhusiano wa damu na mwanaume tena uhusiano wa damu wa karibu HAMNA kitu kinaitwa "kaka" yangu sijui just a friend, HAKUNAGA, labda uwe JIKEDUME, kinyume na hapo unaliwa tu timing uingie kwenye line!!
 
Hawaishi na mkwewe nawako kwenye harakati zakutalakiana kabisa

hahahahaa yani nilivoona hii post tu nikajua tayari hapa mnamshauri mtu ambae keshajielekeza qibra mwenyewe ni basi tu anatafuta pretext aje aseme alikubali kwakua wengi walimlazimisha atoe nyapu kwa uyo mdingi!!
 
Utoto rahaa jamani, wengine hatujatongozwa siku nyingi hata huyo kaka wa heshima hatokei wa kututongoza! Ni sheidaaa!
 
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
:majani7::majani7::majani7:
 
Nawashukuru nyote kwa michango yenu japo nimegundua hii thred wengi waliojibu ni wanaume kwa vile imewagusa kwanamna Fulani, nawale wanawake wenzangu walionikashifu pia nawashukuru sana, wachache wamenishauri vyema wengi wametetea uhuni nawashukuru pia ila sipo tayari kuwa nae hata kwakuchapwa viboko sana sana nitabaki kumuheshimu nakujiweka mbali na yeye ili isiwe tabu wala kero.
 
ila nina uhakika ukimuona na mwanamke mwinine utakuwa na wivu sababu utakuwa unajua alishawahi kukutokea! Au unamaanisha ni mbaya kiasi hicho???
haiya bhana, mi naheshimu maamuzi yako, ila kama uko single na umri haujachelewa na yeye yupo ktk age bracket yako na ni husband material, ndo pa kuanzia!
 
Utoto rahaa jamani, wengine hatujatongozwa siku nyingi hata huyo kaka wa heshima hatokei wa kututongoza! Ni sheidaaa!

Dark city, kaizer, aspirin kuna shughuli nyingine hapa, fanyeni fasta maana vijana wameshindwa kaz!
 
Nawashukuru nyote kwa michango yenu japo nimegundua hii thred wengi waliojibu ni wanaume kwa vile imewagusa kwanamna Fulani, nawale wanawake wenzangu walionikashifu pia nawashukuru sana, wachache wamenishauri vyema wengi wametetea uhuni nawashukuru pia ila sipo tayari kuwa nae hata kwakuchapwa viboko sana sana nitabaki kumuheshimu nakujiweka mbali na yeye ili isiwe tabu wala kero.

Ana miaka mingapi huyo jamaa, na wewe una miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom