Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Wanaume wengine huwa wanafanya makosa ya kimsingi kama haya,ni hivi:-
1: kama upo interested na mwanamke piga kwanza msaada baadae.
2: wanawake huwa hawana ujanja wakiwa na shida,pigeni muda huo jamani.
3: hakuna kiumbe chenye nyodo kali kama mwanamke pindi anapokuwa hana shida.
4: mwanamme hasiwe na ustaraabu mbele ya mwanamke when it comes to mapenzi.

Nawasilisha,walionielewa wamenielewa
Are you born again?
 
Dada nataka nikupe wazo zuri la kukuongozahuyo rafiki yako si ajabu anajus kila kitu anachofanya kaka yake kwa hiyo ukitaka kujua ukweli mdokeze huyo dada yake pili nyinyi watoto wa kike mna tatizo moja yule anaekupa chips na soda utakulupuka kuvua chupi kama umebanwa na aja kubwa na hakuna chochote alichokupa,lkn mtu aliyekupa kazi au elimu unakuwa mgumu tatizo nini,unampandisha cheo cha ukaka mtoto wa watu bule bila sababu tena nina uhakika umbile lako ndilo lililokusaidia yeye kukusaidia,sada huo ukaka unakujaje,kwa nini usimuulize rafiki yako kuwa anataka uwe wifi yake,wakati mwingine kumbe kaka domo zege dada yake anatamani umpe kaka yake ata leo,kwanini umtese mtu aliyekupa maisha na kumsamini mtu anaekupa vichips na soda,mimi nakushauli mpe mladi uhakiki afya yake na yeye ajisikie kuna kitu umemfanyia katika maisha yako,wewe unamkumbuka kwa kukusaidia na yeye atakukumbuka kwa nini,nakuomba mpe.
 
mkuu kuwalewa wanawake ni vigumu sana,unajiliza kwani mtu anaemvulia nguo kumbe hamheshimu,kwamba mkiwa hamheshimiani hapo sawa ila mkiheshimiana na mwanamke ujue ukimtongoza tu mnagombana na urafiki unaisha.

Kabisa Mkuu.
Sasa Unajiuliza So Ili Akupe Mbunye Inabidi Usimheshimu Au.
 
Kama hajaoa nakushauri uendelee kumbania ila kama hajaoa sioni haja ya kumbania
 
Kikubwa nilichotaka kujibiwa hapa nikwanini wanaume wengi huyo dosari huwanayo sana nikutaka kuvuruga mambo yasiende au? Najua hata nikikubali msaada anaonisaidia utaisha yatabakia mapenzi kitu ambacho sitaki, naninavyokataa naona tutaishia kugombana tuu maana sasahivi kawa na wivu viukaliukali visivyokuwa nampangilio yaani basi tuu ilikunivuruga

we mtoto, wambie na wenzako kwamba wanaime tumeumbwa hivyo!
 
Loly hata mimi nimeshakutani, nataka nikupe mpingo wa Ntwara!
 
Last edited by a moderator:
Ndio kusema walioana na wapendanao wote hawaheshimiani?Hivi kuna kanuni ya nani wa kutongoza au kitongozwa? Acha kumbania huyo kaka kama hakuna lingine msikilize ombi lake.
 
Nini? Siwezi kabisa yaani sithubutu na sitothubutu kitu kama hicho ili mwisho wake ijekuwaje sasa?

kweli wa*pu*mba*vu kamwe hawaishi hapa duniani, yani mtu akikutongoza ndio anakuwa kakuvunjia heshima? kwahiyo mimi niliotongoza wanawake 7 wiki hii wote hao nimewavunjia heshima? mbona bado hujaeleweka, kakusaidia sana, nayeye anahitaji msaada wako! hapo utaenda kumpa boya ambae hata msaada wake hauujui...Zinduka!!!
 
Kaka ni yule tu mliozaliwa wote mama mmoja. Lakini waliobaki wote ni halali yako.
 
Loly uko wapi umetuachia sredi

Anawezaje kurudi wakati wanaume wote wanamtetea mtu anayetaka kuvuruga na kuharibu maisha ya Loly?

Ila mie nashauri asijaribu kutoa mzigo kwa mtu mwenye mke wake tena ambaye kafeli mtihani wa kucheza na warembo?

Nikiona vijana wa kiume wanachemka kiasi hiki huwa natamani kurudi front line!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?

una umri gani?
 
Back
Top Bottom