Cjapanick Kaka Nipo Kawaida Tu.
Nimejaribu Kuwapa Ao Wanawake Wanaojiona Keki Na Kutuona Sie Wapuuzi Wakati Ivyo Vitu Ni Nature Ata Kwenye Biblia Vipo.
Umejibu vizuri nikweli swala sio kumuheshimu nikule kumchujulia kama kaka au ndugu
kaka yako ni yule uliyezaliwa nae au uliyenyonya nae ziwa moja.
Huyo anaweza kukuoa basi hawezi kuwa kaka yako ni kama mwanamme yeyote tu.
Chungeni, zinaa ni haramu kwa imani zote kasoro ushetani tu.
Basi ilikua hakuna haja ya kutuletea humu.......Inaonekana jibu/maamuzi unayoNini? Siwezi kabisa yaani sithubutu na sitothubutu kitu kama hicho ili mwisho wake ijekuwaje sasa?
Nini? Siwezi kabisa yaani sithubutu na sitothubutu kitu kama hicho ili mwisho wake ijekuwaje sasa?
Sio sababu