Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Amemtengenezea mazingira ya kumtongoza, then katongozwa alafu anaanza kulia lia hapa, ana udogo gani huyo anataka tu kuchezea watu akili!! Haya atuletee na woooote alowahi kuduu nao na story zao.

Daaaaah nazid kuona binadamu wanavyopretend aiseee ni balaaah.... Ningekuwa jamaa ningemuundia zengwe baya kinyama.
 
mimi ndio maana mambo ya kuitana dada na kaka huwa siyataki kabisa, nawashaga moto toka siku ya kwanza,
naamini huyo jamaa asingepretend na kufunguka toka initial stages sasa ivi ukienda kwao hata chupi ungekua unaacha home!

Hahhahahha weee jamaa ni kwikwi..... Chup angeacha wap et.....
 
Mpe kama hutaki mwambie sio unazungusha zungusha unamchanganya mshkaji afu hasira anapelekewa dadaake.
 
Spot On.
Yan Mtu Unamtongoza KirohoSafi Anaanza Kusema Nlikua Nakuheshimu Sijui Nini.
Kama Mapenzi Ni Upumbavu,Ujinga,UpuuziNa Mambo Ya Ajabu Basi Na Yeye Ni Result Ya Ayo Mambo Ya Ajabu Na Upuuzi Upumbavu Na Ujinga Ambao Mamaake Aliambiwa Na Babaake Akakubali Kufanya.Huo Ujinga Ndo Akatokea Yeye.
Pumbavu Zao Mademu Wote Mnaojibu Ivyo.
SHENZI KABISA.

Aiseee!! Mkuu umepanic.
 
''Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi''

Kwa hiyo unamkataa kwa kuwa unamheshimu?!! Ungekuwa umheshimu ungekubali?

Mimi nadhani ni vyema kusema unamkataa kwa kuwa kwako unamuona kama kaka au ndugu?
Umejibu vizuri nikweli swala sio kumuheshimu nikule kumchujulia kama kaka au ndugu
 
Mpe mbuye acha hisia za undugu kakupenda onyesha nawewe positively Loly haimaanishi hakuheshimu!
 
Last edited by a moderator:
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?

Nikupe ujanja ni PM halaf ntakupa namba yangu na wew unipe yako halaf sasa umpe namba yangu umwambie.......hahaha simwagi mchele bhana ila kama vp ni PM tutaliweka sawa
 
Spot On.
Yan Mtu Unamtongoza KirohoSafi Anaanza Kusema Nlikua Nakuheshimu Sijui Nini.
Kama Mapenzi Ni Upumbavu,Ujinga,UpuuziNa Mambo Ya Ajabu Basi Na Yeye Ni Result Ya Ayo Mambo Ya Ajabu Na Upuuzi Upumbavu Na Ujinga Ambao Mamaake Aliambiwa Na Babaake Akakubali Kufanya.Huo Ujinga Ndo Akatokea Yeye.
Pumbavu Zao Mademu Wote Mnaojibu Ivyo.
SHENZI KABISA.
mkuu kuwalewa wanawake ni vigumu sana,unajiliza kwani mtu anaemvulia nguo kumbe hamheshimu,kwamba mkiwa hamheshimiani hapo sawa ila mkiheshimiana na mwanamke ujue ukimtongoza tu mnagombana na urafiki unaisha.
 
Huwa siwaelewi wasichana wanaposema eti huyo kaka namheshimu sana siwezi kufanya naye mapenzi. Hivi mpenzi wako, mume wako, huna heshima kwake??? Sielewi hizo statements!
 
Me nafikiri tatizo lipo kwenye fikra zako,kwan mtu akikutaka amekuvunjia heshima??kwa hiyo wazaz wako walipotafutana enzi hizo walivunjiana heshima??badili mtazamo wako....jambo lingine ni swala lakudhani kuwa kuna undugu wa damu kwa mtu ambaye hujazaliwa nae...
 
Mpe tuu iyo nyapu aichape. Kwani cha mtu huliwa na mtu,chuma huliwa na kutu... Mpe tuu game.
 
Kaka yako ni yule uliyezaliwa nae au uliyenyonya nae ziwa moja.

Huyo anaweza kukuoa basi hawezi kuwa kaka yako ni kama mwanamme yeyote tu.

Chungeni, zinaa ni haramu kwa imani zote kasoro ushetani tu.
 
Back
Top Bottom