Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana, uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake Nani very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu nanimtu anaependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine, sasa chakushangaza sasahivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi nasitoweza namuheshimu mno kila Mara huwa nampotezea najifanya simuelewi lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme sasa Leo hii nilikwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu hadi ananiambi kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana, hivi wanaume mkoje hamna cha Dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
Uwiiii....Kwahiyo hili nalo la kuleta jf?? Au yuko humu unataka asome? Hebu copy hii umtumie huko, usituchoshe sie, kwani huyo ndio wa kwanza kukutongoza?? Kaka yako mmezaliwa tumbo moja huyo?? Mxiiiiuuuuuuu!! Sasa tukianza kuleta ya kila anayetutongoza humu kweli patatosha humu??
Msipotongozwa mnamlilia Mungu, mkitongozwa mnalalamika, sasa what do you want??
Hivi saa hizi ni leo au jana?
Maana naona JF inanichanganya tu.
Uwiiii....
Hebu changamkia fursa hiyo mama, huyu msichana naona analeta za bisi humu.
Kaizer uliuliza lile swali ili???
natamani kufanya hivyo ila hachelewi kukanusha nakusema nimemsingizia maana hakuna anaeona wakati akianza kusema hayo mambo yake nikiwa Mimi na yeye tuu ndio anasema naakitokea MTU ghafla anabadilisha mada, nilishamwambia haitawezekana anasema nilazima iwezekane hata gharama yaani sasahivi hata ishu alikua akinisaidia haikomalii kama mwanzo nilienda kumuona story nihilo swala lake mpaka muda unaisha naambulia kurudi namawazo mdogo wake anajua kuna msaada napata kumbe kaka ameshabadilika kweli shetani achagui mkuyuTafuta rafiki yake wa karibu au ndugu yake wanaeheshimiana nae umwambie makavu juu ya anachokifanya jamaa kisha umwambie amweleze. Kama hiyo ni ngumu, mwandikie meseji ndefu ukijieleza jinsi usivyojisikia chochote juu yake na umwelekeze kuwa uko tayari kumtafutia mtu awe mpenzi wake hata ikiwa ni uongo.
Akiwa mbishi na anaendelea kukomaa, kashitaki polisi.
Yaan wanawake wengine jaman yaan kutongozwa shida usipotongozwa uanze kujihisi pia sasa unataka iweje....tongozeka watu wapime oil
labda anataka akuowe.hauwez jua.ongea nae vxur.Angesema ananichaji shilingi ngapi ningelipa