Mdogo wangu Ibrahim Ajib ' Mido ' kama hii taarifa ni ya kweli basi japo ni mwana Simba SC mwenzio ila ' umeniangusha ' sana na mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Unakuja Simba SC mdogo wangu hapo utapata Namba ya nani? Kwanini hupendi kusikia Mawazo ya Kaka zako ambao tunakupenda Ibra? Hivi kweli kwa Mfumo wa Kocha Aussems Wewe utapata Namba kweli ndani ya Kikosi cha Simba hii ya sasa Ibra? Ni kwanini Maisha ya hapa Dar es Salaama yanakulevya na yanakuridhisha hivi Mdogo wangu Ibra? Najua kuwa umeshawishiwa na Rafiki zako wakubwa akina Mkude, Ndemla na Tshabalala ila nawe pia ulipaswa ujitathmini Kwanza kabla ya Kuamua ulichoamua Ibra.

Mimi GENTAMYCINE ni Kaka yako, Rafiki yako mzuri tu tena tokea ukiwa Boom FC na wakati ukicheza pia pale Uwanja wa Shule ya Msimbazi achilia mbali Uwanja wa Barafu, ule wa Tanganyika Packers Kawe na hata pale Biafra ukiwa na ' Washikaji ' zako akina Mkude na Sure Boy wa Azam na unajua fika kuwa Mimi ni mwana Simba SC lia lia ila nilikushauri kuwa usije Simba SC na kukupa Sababu zangu nyingi ila kuna Mtu wako wa karibu yupo TRA Makao Makuu ' amenitonya ' kuwa jana ulikuwa na Viongozi wa Simba na huenda ndani ya Saa 48 au 72 kutoka sasa ukasaini rasmi Simba SC.

Nilikushauri vizuri sana Mdogo wangu Ibra kuwa kwa Mafanikio yako makubwa ya Kimpira ni vyema ukaondoka kabisa Tanzania hii ili ' ukatengenezwe ' zaidi na Makocha wakubwa wa Timu zingine na nakumbuka ulipopata ' Offer ' ya TP Mazembe nilifurahi mno na kujua kuwa usingeiacha hiyo bahati na kwa masikitiko makubwa sana nikaja kuambiwa kuwa ' umewachomolea ' kwakuwa tu Simba SC wanakuhitaji na Wewe umekubali kabisa kuingia ' Mtegoni ' na unaelekea Kusaini nao.

Ibra Mdogo wako kutoka Ilala Bungoni najua kuwa umeangalia Pesa na Maisha mazuri ya hapa Jijin Dar es Salaam hasa ukizingatia kuwa unapenda sana Starehe ila ipo Siku utakuja Kunikumbuka Mimi Kaka yako GENTAMYCINE na naamini hata Rafiki yako mkubwa SaluRaka ambaye sasa yupo nchini Ujerumani ( baada ya Kujilipua / Kuchukua Uraia wa huko kama Mkimbizi ) nae akisikia kuwa umekataa kwenda TP Mazembe atakushangaa achilia mbali Kaka yake Hemed wa TRA ambaye ndiyo Mshauri wako Mkuu najua nae pia atakuwa amesikitika mno tu.

Hivi Ibra ungevumilia tu uende zako TP Mazembe ukapikwe na ukatengenezwe hata kwa miaka yako miwili na ukomae vyema unataka kuniambia na Wewe Vilabu vikubwa vya Ulaya visingekuona na Kukusajili? Ibra ni mara ngapi Mwenzako Mbwana Samatta amekuwa akikuambia Wewe na Rafiki yako Mkude kuwa mnachelewa hapa Tanzania na kwamba nyie ni wa Ulaya tu? Hivi hamuoni Mafanikio yake huko KRC Genk?

Najua mida ya baadae tunaweza Kukutana maeneo ya Morocco Hotel katika Duka za Mke wa Mchezaji mwenzako wa Yanga Beki Gadiel Michael ambako huwa unapenda kuwa hapo ukiwa na Wachezaji wenzako bila Kumsahau Beki Mtukutu na Kaka yako Kelvin Yondan ila nimelazimika Kuja na hii ' Kitu ' hapa ili kuwa ' Funzo ' kwa Wachezaji wengine kuwa achaneni na mawazo ' Finyu ' kuwa Maendeleo ya Mchezaji basi ni lazima tu achezee Klabu za Simba na Yanga wakati kumbe ukweli siyo huo.

Nina uhakika kuwa kwa hili Bandiko langu kuna wana Simba SC Wenzangu watanikasirikia kama siyo kuninunia kwakuwa sijapendelea Ibra kuja Simba SC yetu ila ' Kiufundi ' kabisa na ninavyomjua Ibrahim Ajibu alivyo na Kocha wetu wa Simba SC hatoweza kupata Nafasi ya Kudumu Kikosini na atasubiri mno kwa akina Chama, Niyonzima, Muzamiri na hata Ndemla ila kwa Maendeleo yake ya Kimpira angeenda Azam FC angepata Namba tena ya Kudumu ila angeenda huko TP Mazembe au hata Ulaya angefanya vyema zaidi.

Nimefurahi tu Kusikia kwamba Simba SC inamrudisha Beki wetu wa Vijana William Lucien ' Gallas ' ili aje acheze Namba yake ya Kiasili Beki Namba Mbili kwani si uwongo sikufurahishwa na Usajili wa Beki wa ' hovyo hovyo ' ambaye Kiwango chake Kimeshuka kama si Kupotea ghafla Zana Coulibaly na nasikia kuwa anaachwa rasmi ili Nafasi hiyo ya Beki Namba Mbili ibaki tu kwa Nicolas Gyan, William Lucien na Majeruhi Shomary Kapombe.

Mdogo wangu Ibrahim Ajib umeniangusha sana Kaka yako Mimi GENTAMYCINE ila nayaheshimu pia Maamuzi yako.

Nawasilisha.
 
Mkuu, wakati niko kwenye maandalizi na tafakuri zangu za kua tajiri, si ndio nafungua simu nakutana na hizi habari za huyu dogo, nimebaki mdomo wazi, imebidi na mimi nimfungulie thread

Hivi na simba kweli mkuu hawa viongozi watamsajili??

Wakati aliondoka kwa mbwembwe enzi hizo tunaitwa simba ya mchangani??
 
Unakuja Simba SC mdogo wangu hapo utapata Namba ya nani? Kwanini hupendi kusikia Mawazo ya Kaka zako ambao tunakupenda Ibra? Hivi kweli kwa Mfumo wa Kocha Aussems Wewe utapata Namba kweli ndani ya Kikosi cha Simba hii ya sasa Ibra? Ni kwanini Maisha ya hapa Dar es Salaama yanakulevya na yanakuridhisha hivi Mdogo wangu Ibra? Najua kuwa umeshawishiwa na Rafiki zako wakubwa akina Mkude, Ndemla na Tshabalala ila nawe pia ulipashwa ujitathmini Kwanza kabla ya Kuamua ulichoamua Ibra.

Mimi GENTAMYCINE ni Kaka yako, Rafiki yako mzuri tu tena tokea ukiwa Boom FC na wakati ukicheza pia pale Uwanja wa Shule ya Msimbazi achilia mbali Uwanja wa Barafu, ule wa Tanganyika Packers na hata pale Biafra ukiwa na ' Washikaji ' zako akina Mkude na Sure Boy wa Azam na unajua fika kuwa Mimi ni mwana Simba SC lia lia ila nilikushauri kuwa usije Simba SC na kukupa Sababu zangu nyingi ila kuna Mtu wako wa karibu yupo TRA Makao Makuu ' amenitonya ' kuwa jana ulikuwa na Viongozi wa Simba na huenda ndani ya Saa 48 au 72 kutoka sasa ukasaini rasmi Simba SC.

Nawasilisha.
Poa basi tushajua kuwa unamfahamu Ajib.
 
Mkuu, wakati niko kwenye maandalizi na tafakuri zangu za kua tajiri, si ndio nafungua simu nakutana na hizi habari za huyu dogo, nimebaki mdomo wazi, imebidi na mimi nimfungulie thread

Hivi na simba kweli mkuu hawa viongozi watamsajili??

Wakati aliondoka kwa mbwembwe enzi hizo tunaitwa simba ya mchangani??

Kwa taarifa nilizopenyezewa na Watu wake wa karibu Mmoja wapo akiwa ni Mchezaji Mwandamizi tu wa Simba japo bado najiridhisha zinasema kwamba jana alikuwa na CEO ' Poti ' Magori na kwamba huenda basi Kuanzia le hadi Jumatano ( Keshokutwa ) akawa ni Mali rasmi ya Simba SC.

Nimesikitika na namuonea mno huruma japo najua Kimaendeleo nje ya Uwanja yupo vizuri tu akiwa na Nyumba yake nzuri tu Kigamboni na sasa anamalizia Kujenga nyingine achilia mbali Biashara zake kadhaa hapa Dar es Salaam na bahati nzuri ameoa Mwanamke makini mno na Mpenda Maendeleo ila Mimi kwa ninavyomjua ' Mido ' Ajib Ibra si Mchezaji wa kuendelea kubaki Kucheza Ligi ya Tanzania na naamini hata wale wengine wanaomjua watakubaliana na Mimi katika hili.

Ameniangusha sana huyu Dogo.
 
Unakuja Simba SC mdogo wangu hapo utapata Namba ya nani? Kwanini hupendi kusikia Mawazo ya Kaka zako ambao tunakupenda Ibra? Hivi kweli kwa Mfumo wa Kocha Aussems Wewe utapata Namba kweli ndani ya Kikosi cha Simba hii ya sasa Ibra? Ni kwanini Maisha ya hapa Dar es Salaama yanakulevya na yanakuridhisha hivi Mdogo wangu Ibra? Najua kuwa umeshawishiwa na Rafiki zako wakubwa akina Mkude, Ndemla na Tshabalala ila nawe pia ulipashwa ujitathmini Kwanza kabla ya Kuamua ulichoamua Ibra.

Mimi GENTAMYCINE ni Kaka yako, Rafiki yako mzuri tu tena tokea ukiwa Boom FC na wakati ukicheza pia pale Uwanja wa Shule ya Msimbazi achilia mbali Uwanja wa Barafu, ule wa Tanganyika Packers na hata pale Biafra ukiwa na ' Washikaji ' zako akina Mkude na Sure Boy wa Azam na unajua fika kuwa Mimi ni mwana Simba SC lia lia ila nilikushauri kuwa usije Simba SC na kukupa Sababu zangu nyingi ila kuna Mtu wako wa karibu yupo TRA Makao Makuu ' amenitonya ' kuwa jana ulikuwa na Viongozi wa Simba na huenda ndani ya Saa 48 au 72 kutoka sasa ukasaini rasmi Simba SC.

Nilikushauri vizuri sana Mdogo wangu Ibra kuwa kwa Mafanikio yako makubwa ya Kimpira ni vyema ukaondoka kabisa Tanzania hii ili ' ukatengenezwe ' zaidi na Makocha wakubwa wa Timu zingine na nakumbuka ulipopata ' Offer ' ya TP Mazembe nilifurahi mno na kujua kuwa usingeiacha hiyo bahati na kwa masikitiko makubwa sana nikaja kuambiwa kuwa ' umewachomolea ' kwakuwa tu Simba SC wanakuhitaji na Wewe umekubali kabisa kuingia ' Mtegoni ' na unaelekea Kusaini nao.

Ibra Mdogo wako kutoka Ilala Bungoni najua kuwa umeangalia Pesa na Maisha mazuri ya hapa Jijin Dar es Salaam hasa ukizingatia kuwa unapenda sana Starehe ila ipo Siku utakuja Kunikumbuka Mimi Kaka yako GENTAMYCINE na naamini hata Rafiki yako mkubwa SaluRaka ambaye sasa yupo nchini Ujerumani ( baada ya Kujilipua / Kuchukua Uraia wa huko kama Mkimbizi ) nae akisikia kuwa umekataa kwenda TP Mazembe atakushangaa achilia mbali Kaka yake Hemed wa TRA ambaye ndiyo Mshauri wako Mkuu najua nae pia atakuwa amesikitika mno tu.

Hivi Ibra ungevumilia tu uende zako TP Mazembe ukapikwe na ukatengenezwe hata kwa miaka yako miwili na ukomae vyema unataka kuniambia na Wewe Vilabu vikubwa vya Ulaya visingekuona na Kukusajili? Ibra ni mara ngapi Mwenzako Mbwana Samatta amekuwa akikuambia Wewe na Rafiki yako Mkude kuwa mnachelewa hapa Tanzania na kwamba nyie ni wa Ulaya tu? Hivi hamuoni Mafanikio yake huko KRC Genk?

Najua mida ya baadae tunaweza Kukutana maeneo ya Morocco Hotel katika Duka za Mke wa Mchezaji mwenzako wa Yanga Beki Gadiel Michael ambako huwa unapenda kuwa hapo ukiwa na Wachezaji wenzako bila Kumsahau Beki Mtukutu na Kaka yako Kelvin Yondan ila nimelazimika Kuja na hii ' Kitu ' hapa ili kuwa ' Funzo ' kwa Wachezaji wengine kuwa achaneni na mawazo ' Finyu ' kuwa Maendeleo ya Mchezaji basi ni lazima tu achezee Klabu za Simba na Yanga wakati kumbe ukweli siyo huo.

Nina uhakika kuwa kwa hili Bandiko langu kuna wana Simba SC Wenzangu watanikasirikia kama siyo kuninunia kwakuwa sijapendelea Ibra kuja Simba SC yetu ila ' Kiufundi ' kabisa na ninavyomjua Ibrahim Ajibu alivyo na Kocha wetu wa Simba SC hatoweza kupata Nafasi ya Kudumu Kikosini na atasubiri mno kwa akina Chama, Niyonzima, Muzamiri na hata Ndemla ila kwa Maendeleo yake ya Kimpira angeenda Azam FC angepata Namba tena ya Kudumu ila angeenda huko TP Mazembe au hata Ulaya angefanya vyema zaidi.

Nimefurahi tu Kusikia kwamba Simba SC inamrudisha Beki wetu wa Vijana William Lucien ' Gallas ' ili aje acheze Namba yake ya Kiasili Beki Namba Mbili kwani si uwongo sikufurahishwa na Usajili wa Beki wa ' hovyo hovyo ' ambaye Kiwango chake Kimeshuka kama si Kupotea ghafla Zana Coulibaly na nasikia kuwa anaachwa rasmi ili Nafasi hiyo ya Beki Namba Mbili ibaki tu kwa Nicolas Gyan, William Lucien na Majeruhi Shomary Kapombe.

Mdogo wangu Ibrahim Ajib umeniangusha sana Kaka yako Mimi GENTAMYCINE ila nayaheshimu pia Maamuzi yako.

Nawasilisha.
Dah we mjinga unaishi ilala nini. Mpaka saluraka unamjua wakati ujerumani kaenda juzi tu. Dah kina hemed na salu kuchua uraia unajua. Wew utakuwa mwenyeji wa bungoni aisee.
 
yawezekana ameshindwana na masharti ya mkataba. ajibu ni mtu mzima anaakili pia ni mzoefu ktk soka. yawezekana amepima akachekecha akaona bora tu abaki msimbaz

Starehe za Dar es Salaam na Kuandikwa sana Magazetini Kumeshamlevya huyo Dogo Mkuu.
 
Mbona ' Mamaako ' nae umesahau kuwa hata Yeye ninamjua mno?
Asante kwa kunikumbusha kuwa unamjua mama. Wewe ni shoga yake bibi Genta. Vipi ile mimba yako ushajifungua? Nakumbuka ulikua unakuja kulalamika kwa mama kwamba mumeo anakudinya sana kiasi kwamba papuchi yako imelegea na mguu umeteguka. Vipi ulishapona?
 
Dah we mjinga unaishi ilala nini. Mpaka saluraka unamjua wakati ujerumani kaenda juzi tu. Dah kina hemed na salu kuchua uraia unajua. Wew utakuwa mwenyeji wa bungoni aisee.

GENTAMYCINE ni zaidi ya Umjuavyo Mkuu. Mama yao akina Hemed na SaluRaka ndiyo alimlea mno Ibrahim Ajib wakati akiwa Mdogo na anahangaika na Maisha Magumu ( huku Kaka zake wote wakiwa ni Mateja watupu Ilala ) hasa baada ya Baba yake Ibra na Mama yake Kuachana na Mama yake Ibrahim akaamua Kutokomoea zake Uarabuni Kufanya Kazi huko ambako sasa ni mwaka wa 20 yupo huko Kimakazi.

Wakati Wewe ukidhani kuwa Ibrahim Ajib anajua mno Mpira basi unaambiwa hakuna Mtu aliyekuwa ana Kipaji cha Mpira kama huyo SaluRaka na Simba SC kupitia KD ( Kassim Dewji ) walihagaika sana Kumsajili achezee Simba SC ila alikataa kwakuwa Yeye Mpira hachezei Shida kwani anatoka Familia hiyo ya akina Hemed inayojiweza kiasi Kiuchumi na sasa yupo zake huko nchini Ujerumani ambapo amejilipua ( namaanisha amechukua Uraia rasmi wa huko )

Naomba nisiendelee zaidi ya hapa tafadhali.
 
Kwa wachezaji wazawa wa Tanzania ukiuzwa kutokea Simba utafanikiwa unapoenda Ajib atauzwa akiwa Simba Simba ndio mlango wakutokea
 
Asante kwa kunikumbusha kuwa unamjua mama. Wewe ni shoga yake bibi Genta. Vipi ile mimba yako ushajifungua? Nakumbuka ulikua unakuja kulalamika kwa mama kwamba mumeo anakudinya sana kiasi kwamba papuchi yako imelegea na mguu umeteguka. Vipi ulishapona?

Mpaka umekuja hivi nina uhakika kuwa tayari ' Dozi ' ya Awali niliyokupa ' imeshapenya ' kabisa. Pole sana na Siku zingine uache ' Kukurupuka ' Swine Mkubwa Wewe.
 
Back
Top Bottom