Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Mbona unalilia kwani umejipangaje???Je ni Mara yako ya Kwanza kupatiwa mgegedo...Ukimpatia mara moja anaondoka nacho useme utakiona mnajipotezeaga bahati hivi hivi kwa sababu za kijnga alafu kumbe una miaka nyingi hivyo mim nikajua 18 khaaaaa Lowassa Mwenyewe alikuwa na msimamo kutokukihama chama lakin sasa hivi yupo ukawa Mambo safi Utaki Mafuriko ya Mahaba wewe????

Duuuh unenchekesha shidaa yani duu
 
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?

et naona aibu!,unaonekana unaentertain upuuzi,jamaa atakuwa kashakutia kwa maelezo hayo
 
childish, baada ya muda hapa utakuja na thread ya kutafuta mchumba.
punguani wa hedi wewe in Faizafoxy voice
 
Kwanza akakutafutia kazi, pili kuna mpango mwingine ambao bila yeye huwezi kufanikisha, tatu, ameanza wivu flani hivi. Nne anamke lakini yupo Single. Nne na nusu, wamekorofishana na mke wake karibia wanataka kuachana.
Wee binti, mpe lakini usivunje ndoa yake. Tunaosoma vertically tumeshajua na wewe unampenda ila unaogopa watu na maneno yao.
Kila la kheri katika kumuonja huyo kaka. Katika hali ya kawaida mimi nimemuona jamaa ni muungwana kwani alikutimizia shida yako ya kazi then baadae ndoo akaomba. Maana yake hajatumia ziki yako ya kazi kukuomba. Kuna wanangu humu JF angekuwa kashakulamba hata kabla ya kukupatia kazi. Kama kweli hauko tayari disconnect. Kumfanya fara itakutokea puani. Mafia wengi huwa ni wapole sana
 
sasa mbona Loly mwenyewe katoweka? au ndo kaenda kutawanywa miguu na broza??
 
Last edited by a moderator:
Kikubwa nilichotaka kujibiwa hapa nikwanini wanaume wengi huyo dosari huwanayo sana nikutaka kuvuruga mambo yasiende au? Najua hata nikikubali msaada anaonisaidia utaisha yatabakia mapenzi kitu ambacho sitaki, naninavyokataa naona tutaishia kugombana tuu maana sasahivi kawa na wivu viukaliukali visivyokuwa nampangilio yaani basi tuu ilikunivuruga

Having a friend who is a female is like having a chicken as a pet" you will eventually feel like Eating it - Luhya proverb
 
Mpitagwa huyu dada ana bahati,kwa mm kijana wako unavyonijua saa hizi ilikuwa baraaa,ingekuwa shikamoo mpezi co kaka tena na ped angevaa mwakani mwezi wa tano na katoto mgogoni.
 
Si umesema jamaa yuko makini? Basi kama matokeo ya makini wake ameamua kukutokea wewe. Hakukurupuka atakuwa amekufanyia homework. Kazi kwako sasa.
 
Khaa!! Mpe mambo.. Ndiyo dume lako huyo..kesho usije anza kulialia
 
Wewe acha mambo ya kishamba, kwani mkiwa wapenzi huwezi kumuheshimu? tena huyo ambaye unamjua mpaka kwao/kwake na ndugu zake ndio mumeo huyo, wacha kumbania jamaa..!!
 
Sasa kama unamuheshimu ataacha kukupenda? Mwanaume anapenda mwanamke mwenye heshima! Ama kuna kitu sijaelewa hapa?
 
Back
Top Bottom