Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Kila mtu akieka tongozo lake hapa tutakosa hata pa kuandika
pole kwa kutongozwa mwayego
pole kwa kutongozwa mwayego
Kuna watu mnajua kulea maradhi
Kama hufurahishwi na tongozo lake mwambie direct....akikukera mblock
Ameoa ila yupo single kwa sasa, ile heshima ndio najiuliza haoni?? Akiwa namdogo wake ananiheshimu mdogo wake akisogeza tuu mguu anaanza kuniambia maneno yaajabu namimi najikaysha kama simuelewi sasahivi anaongea maneno makali kabisa hadi najuta
Sio sababu
Kila mtu akieka tongozo lake hapa tutakosa hata pa kuandika
pole kwa kutongozwa mwayego
Hawaishi na mkwewe nawako kwenye harakati zakutalakiana kabisa
Mimi sio muhuni nakukubali kufanya tendo linalowahusu wanandoa tuu Mimi sithubutu hasa kwa MTU ninaemuheshimu kama baba, sasahivi huwa naona aibu sana nikionana nae nasiwezi kumkwepa maana ananisaidia swala flank ambalo lilishakuwa gumu kwanguNi sababu. Ww tuambie kama.upo single.ama una BF...ili tukushauri otherwise unataka tumlaumu mbaba wa watu hapa bila mashiko. Kutongozwa kawaida mbona.
Hilo suala.la heshima sijui nini lina mwisho wake yeye ameshaonyesha kukupenda kama.unampenda shikamana
Nitaanzia wapi namuogopa yupo serious nanimkali plas kulekunisaidia napata ugumu nachotaka Mimi nikumpotezea asomesheweeee hadi Yesu arudi
Mimi sio muhuni nakukubali kufanya tendo linalowahusu wanandoa tuu Mimi sithubutu hasa kwa MTU ninaemuheshimu kama baba, sasahivi huwa naona aibu sana nikionana nae nasiwezi kumkwepa maana ananisaidia swala flank ambalo lilishakuwa gumu kwangu
Samahani Loly, ww bado Bikra?
Najua umelewa usije ukachanganya haya maneno bikra na birika maana yanafana
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana, uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake Nani very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu nanimtu anaependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine, sasa chakushangaza sasahivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi nasitoweza namuheshimu mno kila Mara huwa nampotezea najifanya simuelewi lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme sasa Leo hii nilikwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu hadi ananiambi kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana, hivi wanaume mkoje hamna cha Dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
Jama wanaume jibuni basi kwanini mko hivyo????Kikubwa nilichotaka kujibiwa hapa nikwanini wanaume wengi huyo dosari huwanayo sana nikutaka kuvuruga mambo yasiende au? Najua hata nikikubali msaada anaonisaidia utaisha yatabakia mapenzi kitu ambacho sitaki, naninavyokataa naona tutaishia kugombana tuu maana sasahivi kawa na wivu viukaliukali visivyokuwa nampangilio yaani basi tuu ilikunivuruga