Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Unajua na wewe kama umepanic tu...!

Yeye amekuheshimu ndio maana ameamua muanze kurasa mpya... /

Wewe muulize ana nia gani na wewe afu ukimuelewa muanze kula maisha....

Kama ni mtu wa msaada sana kwako kwanini msifurahi pamoja.....
Tatizo ni wewe kujikuta wa tamthilia sana....

Ingekuwa ni mimi ningekuwa nimeshakuelewesha siku nyingi sana na unenjoy tu kama mwanamke mwingine yoyote... Eti kaka, kaka..... Kaka wakati Ni watu wawili mnachoweza kufanya yenu so acha drama mrembo....
 
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
kawaida sana haya mambo ndugu so take it easy .Bora wewe huyo wa mbali mimi mtoto wa kaka yake mume wa mama yangu mdogo.So nilikua najua ni kaka yangu kabisa na alilelewa na mama yangu mdogo but finaly alinigeuzia kibano nilichoka.
 
kaka yako ni yule ulie zaliwa naye tu either kwa kushare baba au mama kinyume na hapo chochote hutokea kati ya mwanaume na mwanamke
 
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
kwani hujawahi kupga show mdada?maana unakuwa mkali
 
kubali tu mdada au hutak huyo rafik yako akuite wifi?
 
huoni ndiyo unadumisha ukaka wa nyama kwa nyama mpe tunda hilo ajaribu jaribu!

matokeo utayajua mwenyewe kama utakuwa wa zarula au wakudumu !
 
tatizo la wDada wengi wanashndwa kuelewa kuwa ktk dunia hii hakuna msaadA usiokuwa na malengo
 
Ndio unyago inabidi uingizwe kwenye mitaala swali gani la kuuliza wakati k umepewa bure
Iseee kweli niamini wanaume sio watu wakuaminika hata umuite kaka hata umuite baba tpuu
Ndio maana ndoa zinawakimbi
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
 
kawaida sana haya mambo ndugu so take it easy .Bora wewe huyo wa mbali mimi mtoto wa kaka yake mume wa mama yangu mdogo.So nilikua najua ni kaka yangu kabisa na alilelewa na mama yangu mdogo but finaly alinigeuzia kibano nilichoka.
Wanaume wengine mmmh! hopeless !!
 
Back
Top Bottom