tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,484
Loly hata mimi nimeshakutani, nataka nikupe mpingo wa Ntwara!
teh teh teh
Last edited by a moderator:
Loly hata mimi nimeshakutani, nataka nikupe mpingo wa Ntwara!
Nawashukuru nyote kwa michango yenu japo nimegundua hii thred wengi waliojibu ni wanaume kwa vile imewagusa kwanamna Fulani, nawale wanawake wenzangu walionikashifu pia nawashukuru sana, wachache wamenishauri vyema wengi wametetea uhuni nawashukuru pia ila sipo tayari kuwa nae hata kwakuchapwa viboko sana sana nitabaki kumuheshimu nakujiweka mbali na yeye ili isiwe tabu wala kero.
Nini? Siwezi kabisa yaani sithubutu na sitothubutu kitu kama hicho ili mwisho wake ijekuwaje sasa?

Iseee kweli niamini wanaume sio watu wakuaminika hata umuite kaka hata umuite baba tpuu
Kwahiyo hili nalo la kuleta jf?? Au yuko humu unataka asome? Hebu copy hii umtumie huko, usituchoshe sie, kwani huyo ndio wa kwanza kukutongoza?? Kaka yako mmezaliwa tumbo moja huyo?? Mxiiiiuuuuuuu!! Sasa tukianza kuleta ya kila anayetutongoza humu kweli patatosha humu??
Msipotongozwa mnamlilia Mungu, mkitongozwa mnalalamika, sasa what do you want??
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.
Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.
Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .
Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.
Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.
Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.
Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
Siku ukimuona na demu mwingine ndio akili yako itakaa sawa. Naona kama unachezea bahati ya Mtende kuota jangwani. Umeshasema jamaa hana time na ladies wengine wakali, ila kakutokea wewe huoni kama ni husband material huyo! Karagabaho!