Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Hatred based on religion and race and born of religious and racial prejudice is a quiet fire that feeds on ignorance and fear.
What starts as suspicion hardens into contempt until the hater no longer sees as people, only labels
This kind of hatred is uniquely consuming as it demands constant vigilance. It requires the hater to guard their mind against empathy to twist every unfamiliar ritual or word into proof of wrongdoing
In the end, prejudice against religion or race rarely harms its targets as deeply as it harms its holder
Faiths and race endure, adapt and outlive generations of intolerance. Hatred, however corroded from within as it isolates, exhausts and hollows out the person who carries it until the only thing left is the bitterness they once chose to nurture
 
Wewe ujaelewa mleta mada ...soma tena ....mleta mada aongelei kuwa na dini wala lugha.... lugha kuwa na maneno ya kiarabu au kizungu ni kawaida, baadhi ya maneno kuchukuliwa kwenye lugha nyingine na kutumika kama yalivyo ....mleta mada anacho ongelea ni utumwa na ulimbukeni ambao waislamu wanao kuhusu uarabu ...kwanza kuamini kiarabu ndiyo lugha ya msikitini ni upumbavu na ulimbukeni na uongo na utapeli na utumwa wa akili ....kuamini mavazi ya kiarabu ndiyo mavazi ya kidini na kimungu ni utumwa na ulimbukeni na uanithi wa akili...NI MUNGU GANI ALIYE WAAMBIA WATU DUNIANI KUWA LUGHA ZOTE DUNIANI NI HARAMU MBELE YA MUNGU ISIPOKUWA KIARABU ...NI MUNGU GANI ALIYE WAAMBIA WANADAMU KUWA LUGHA YA KUMUOMBA YEYE NI KIARABU TU HIVYO USIPO JUA KIARABU UWEZI KUMUOMBA ...NI NANI ALIYE WAAMBIA WAISLAMU KUWA SHEKHE NI LAZIMA ASWALISHE KWA KIARABU ? Al-mukheef FaizaFoxy Jagina Bwana Utam Covax adriz
Katika maisha ya binadamu, ufadhilishaji ni jambo la kawaida na lisiloepukika. Kila kitu hupata nafasi yake kulingana na muktadha, thamani, au makubaliano ya kijamii, bila maana ya kufuta au kudharau vingine.

Katika ngazi ya nchi, Rais huitwa raia namba moja, si kwa sababu yeye ni binadamu wa aina tofauti, bali kwa sababu ya nafasi na jukumu alilopewa. Vivyo hivyo, katika siku za wiki, Ijumaa hufadhilishwa na dini ya Kiislamu kuwa siku tukufu, na katika miezi, Ramadhani hupata nafasi ya juu kutokana na fadhila na ibada zake maalumu. Hii haimaanishi siku au miezi mingine haina thamani, bali kila moja ina nafasi yake.

Katika viumbe, Waislamu wanaamini kuwa Mtume Muhammad ﷺ ndiye mbora wa viumbe wote, si kwa misingi ya ubaguzi, bali kwa misingi ya ujumbe, maadili na jukumu la kimungu alilobeba. Huu ni ufadhilishaji wa kiitikadi, unaoeleweka ndani ya muktadha wa imani.

Hali hii hiyo inaonekana pia katika lugha. Ndani ya Uislamu, lugha ya Kiarabu hufadhilishwa kwa sababu ni lugha ya Qur’ani na chanzo cha maandiko ya awali ya dini hiyo. Hata hivyo, ufadhilishaji huu hauondoi uhalali wa lugha nyingine, wala hauzifanyi ziwe duni au zisizo na thamani.

Kwa mfano, kila mmoja wetu ana lugha ya asili, lakini kutokana na mazingira ya kijamii na kihistoria, leo hii wengi wetu Tanzania tunazungumza Kiswahili, ambacho kimekubaliwa kuwa lugha ya taifa. Kutokujua Kiswahili hakumfanyi mtu asiwe Mtanzania, kwa sababu Tanzania ina lugha nyingi za kiasili ambazo zote ni sehemu ya urithi wetu wa kitaifa.

Kwa kiwango cha dunia, Kiingereza kimekuwa lugha inayotumika sana kimataifa, si kwa sababu ndicho lugha bora kuliko zote kiasili, bali kwa sababu ya nguvu za kihistoria, kisiasa na kiuchumi zilizokifanya kitumike kwa mapana zaidi. Hii inaonyesha wazi kuwa dunia haihitaji lugha moja tu, bali huhitaji mawasiliano yanayokubalika kwa wakati na mazingira husika.

Lugha ni utamaduni, lugha ni mawasiliano, na lugha ni utambulisho. Kufadhilisha lugha fulani katika muktadha fulani ni jambo la kawaida na la kimantiki, mradi tu ufadhilishaji huo usigeuke kuwa chombo cha kudharau au kufuta utofauti. Ulimwengu unaendelea kwa tofauti zake, si kwa kufanana kwake.
 
hayo unayasema wewe kumzulia uongo Mungu.

Ibada ambayo imewekwa katika lugha ya kiarabu ni "swala/sala" peke yake.

Na pia Quran tunaisoma katika lugha yake ya asili na ndio sababu imehifadhika kwa takribani miaka 1440. Ndio kitabu ambacho kipp katika lugha yake ya asili bila ya kuharibiwa tofauti na Vitabu kama vya taurati na Injili ambazo zilitiwa mikono na watu waovu na kubadilishwa lugha yake kwenda kigiriki,kilatini na kuja kwenye lugha za kingereza na kiswahili...
Nyie hembu acheni hoja za kitoto, illogical na kuongea kama mmekatwa kichwa, kwani kitabu kikitafsiriwa katika lugha lugha nyingine kinapotea au kufutika katika lugha yake ya mwanzo??
Biblia ilivyotafsiriwa katika Kiswahili kutoka Biblia ya Kingereza imezifanya Biblia za Kingereza kubadilika au kupotea??
Kitabu cha The Art of War cha Sun Tzu ni cha kale kuliko Quran ya Muhammad na kiko katika makumi ya lugha pamoja na lugha yake ya asili ya Kichina kama alivyoandika Sun Tzu mwenyewe.
 
Katika maisha ya binadamu, ufadhilishaji ni jambo la kawaida na lisiloepukika. Kila kitu hupata nafasi yake kulingana na muktadha, thamani, au makubaliano ya kijamii, bila maana ya kufuta au kudharau vingine.

Katika ngazi ya nchi, Rais huitwa raia namba moja, si kwa sababu yeye ni binadamu wa aina tofauti, bali kwa sababu ya nafasi na jukumu alilopewa. Vivyo hivyo, katika siku za wiki, Ijumaa hufadhilishwa na dini ya Kiislamu kuwa siku tukufu, na katika miezi, Ramadhani hupata nafasi ya juu kutokana na fadhila na ibada zake maalumu. Hii haimaanishi siku au miezi mingine haina thamani, bali kila moja ina nafasi yake.

Katika viumbe, Waislamu wanaamini kuwa Mtume Muhammad ﷺ ndiye mbora wa viumbe wote, si kwa misingi ya ubaguzi, bali kwa misingi ya ujumbe, maadili na jukumu la kimungu alilobeba. Huu ni ufadhilishaji wa kiitikadi, unaoeleweka ndani ya muktadha wa imani.

Hali hii hiyo inaonekana pia katika lugha. Ndani ya Uislamu, lugha ya Kiarabu hufadhilishwa kwa sababu ni lugha ya Qur’ani na chanzo cha maandiko ya awali ya dini hiyo. Hata hivyo, ufadhilishaji huu hauondoi uhalali wa lugha nyingine, wala hauzifanyi ziwe duni au zisizo na thamani.

Kwa mfano, kila mmoja wetu ana lugha ya asili, lakini kutokana na mazingira ya kijamii na kihistoria, leo hii wengi wetu Tanzania tunazungumza Kiswahili, ambacho kimekubaliwa kuwa lugha ya taifa. Kutokujua Kiswahili hakumfanyi mtu asiwe Mtanzania, kwa sababu Tanzania ina lugha nyingi za kiasili ambazo zote ni sehemu ya urithi wetu wa kitaifa.

Kwa kiwango cha dunia, Kiingereza kimekuwa lugha inayotumika sana kimataifa, si kwa sababu ndicho lugha bora kuliko zote kiasili, bali kwa sababu ya nguvu za kihistoria, kisiasa na kiuchumi zilizokifanya kitumike kwa mapana zaidi. Hii inaonyesha wazi kuwa dunia haihitaji lugha moja tu, bali huhitaji mawasiliano yanayokubalika kwa wakati na mazingira husika.

Lugha ni utamaduni, lugha ni mawasiliano, na lugha ni utambulisho. Kufadhilisha lugha fulani katika muktadha fulani ni jambo la kawaida na la kimantiki, mradi tu ufadhilishaji huo usigeuke kuwa chombo cha kudharau au kufuta utofauti. Ulimwengu unaendelea kwa tofauti zake, si kwa kufanana kwake.
Umesoma nilicho andika na kukielewa ? Kumbuka kuwa lugha ya kiarabu ilikuwepo kabla ya kitabu chenu kuwepo ....hata salamu ya kiislamu asiliyake siyo Muhammad ilitumika na waisrael..toka agano la kale na injili ..Muhammad ndiyo akawaletea hiyo salamu waarabu waislamu..ila ukimsalimia hiyo salamu muislamu wa tanzania kwa kutumia kiswahili utamuona kakunja uso na moja kwa moja anakudhani umemgeuza yeye kuwa mkristo.
 
Moderator
@Yin yang
Cookie

Tumechoka hizi dram hum kuhusu Uislam. Mjitafkar asee, jamii forum mmeifikisha steji ambayo mtu akila chipsi tu anqfungua thread title "chipsi za buku jero luguruni nimeshib"

Uzi kama huu hoja yake ni nn?
Matapeli wote kina mwamposa na mudi boy na wengine wote kina Gamanywa lazima waanikwe.
 
Sheria ya ALLAH kwa mtu ambaye ni Murtad huwa ni KIFO (Capital punishment)....

Hata ukisoma Biblia yako utaikuta hii sheria ya Apostasy..Tena BIBLIA inasema huyo mtu anatakiwa APIGWE MAWE HADHARANI MPAKA KUFA ILI WATU WENGINE WASIIGE UPOTOVU WAKE.

Kumbukumbu la torati 13:6-11

"
Atakapokushawishi kwa siri ndugu yako, mwana wa mamaako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa kifuani mwako, au rafiki yako aliye kama moyo wako, akikuambia, Twende tukaabudu miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako;
7 katika miungu ya mataifa yaliyo kando-kando yenu karibu nawe au mbali nawe, tokea ncha moja ya dunia hata ncha ya pili ya dunia;
8 usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;
9 mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.
10 Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na Bwana, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
11 Na Israeli wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako."
Nimeipenda hii
 
Katika maisha ya binadamu, ufadhilishaji ni jambo la kawaida na lisiloepukika. Kila kitu hupata nafasi yake kulingana na muktadha, thamani, au makubaliano ya kijamii, bila maana ya kufuta au kudharau vingine.

Katika ngazi ya nchi, Rais huitwa raia namba moja, si kwa sababu yeye ni binadamu wa aina tofauti, bali kwa sababu ya nafasi na jukumu alilopewa. Vivyo hivyo, katika siku za wiki, Ijumaa hufadhilishwa na dini ya Kiislamu kuwa siku tukufu, na katika miezi, Ramadhani hupata nafasi ya juu kutokana na fadhila na ibada zake maalumu. Hii haimaanishi siku au miezi mingine haina thamani, bali kila moja ina nafasi yake.

Katika viumbe, Waislamu wanaamini kuwa Mtume Muhammad ﷺ ndiye mbora wa viumbe wote, si kwa misingi ya ubaguzi, bali kwa misingi ya ujumbe, maadili na jukumu la kimungu alilobeba. Huu ni ufadhilishaji wa kiitikadi, unaoeleweka ndani ya muktadha wa imani.

Hali hii hiyo inaonekana pia katika lugha. Ndani ya Uislamu, lugha ya Kiarabu hufadhilishwa kwa sababu ni lugha ya Qur’ani na chanzo cha maandiko ya awali ya dini hiyo. Hata hivyo, ufadhilishaji huu hauondoi uhalali wa lugha nyingine, wala hauzifanyi ziwe duni au zisizo na thamani.

Kwa mfano, kila mmoja wetu ana lugha ya asili, lakini kutokana na mazingira ya kijamii na kihistoria, leo hii wengi wetu Tanzania tunazungumza Kiswahili, ambacho kimekubaliwa kuwa lugha ya taifa. Kutokujua Kiswahili hakumfanyi mtu asiwe Mtanzania, kwa sababu Tanzania ina lugha nyingi za kiasili ambazo zote ni sehemu ya urithi wetu wa kitaifa.

Kwa kiwango cha dunia, Kiingereza kimekuwa lugha inayotumika sana kimataifa, si kwa sababu ndicho lugha bora kuliko zote kiasili, bali kwa sababu ya nguvu za kihistoria, kisiasa na kiuchumi zilizokifanya kitumike kwa mapana zaidi. Hii inaonyesha wazi kuwa dunia haihitaji lugha moja tu, bali huhitaji mawasiliano yanayokubalika kwa wakati na mazingira husika.

Lugha ni utamaduni, lugha ni mawasiliano, na lugha ni utambulisho. Kufadhilisha lugha fulani katika muktadha fulani ni jambo la kawaida na la kimantiki, mradi tu ufadhilishaji huo usigeuke kuwa chombo cha kudharau au kufuta utofauti. Ulimwengu unaendelea kwa tofauti zake, si kwa kufanana kwake.
fact
 
Umesoma nilicho andika na kukielewa ? Kumbuka kuwa lugha ya kiarabu ilikuwepo kabla ya kitabu chenu kuwepo ....hata salamu ya kiislamu asiliyake siyo Muhammad ilitumika na waisrael..toka agano la kale na injili ..Muhammad ndiyo akawaletea hiyo salamu waarabu waislamu..ila ukimsalimia hiyo salamu muislamu wa tanzania kwa kutumia kiswahili utamuona kakunja uso na moja kwa moja anakudhani umemgeuza yeye kuwa mkristo.
Wapo somo mkuu
 
Ikiwa salamau ipo toka agano la kale kwa nini nyinyi hamsalimiani, basi hata kwa kiswahili?
 
Wewe ujaelewa mleta mada ...soma tena ....mleta mada aongelei kuwa na dini wala lugha.... lugha kuwa na maneno ya kiarabu au kizungu ni kawaida, baadhi ya maneno kuchukuliwa kwenye lugha nyingine na kutumika kama yalivyo ....mleta mada anacho ongelea ni utumwa na ulimbukeni ambao waislamu wanao kuhusu uarabu ...kwanza kuamini kiarabu ndiyo lugha ya msikitini ni upumbavu na ulimbukeni na uongo na utapeli na utumwa wa akili ....kuamini mavazi ya kiarabu ndiyo mavazi ya kidini na kimungu ni utumwa na ulimbukeni na uanithi wa akili...NI MUNGU GANI ALIYE WAAMBIA WATU DUNIANI KUWA LUGHA ZOTE DUNIANI NI HARAMU MBELE YA MUNGU ISIPOKUWA KIARABU ...NI MUNGU GANI ALIYE WAAMBIA WANADAMU KUWA LUGHA YA KUMUOMBA YEYE NI KIARABU TU HIVYO USIPO JUA KIARABU UWEZI KUMUOMBA ...NI NANI ALIYE WAAMBIA WAISLAMU KUWA SHEKHE NI LAZIMA ASWALISHE KWA KIARABU ? Al-mukheef FaizaFoxy Jagina Bwana Utam Covax adriz
Unanitag nikikuuliza maswali hunijibu unaingia mitini
 
Hivi kuna Mkristo anayesoma kile chuo cha Morogoro?
Hali yao inakuwaje kuhusu haki zao
Niliambiwa wakristo wapo Ila kwa asilimia ndogo mno inawabidi wavalishwe mavazi ya kiarabu hasa mabinti
km unavyojua wakrsto hawanag kelele

ila mzazi mkristo kuruhusu mtoto wake kwenda pale ni kutijitambua
nafikiri ni wazazi wale wasiojua kuhusu elimu
 
Ila pasta wako akisema shalom shalom unaona sawa?

As salaam alaikum...maana yake ni amani iwe nanyi ni salamu ya amani tunayotakiana waislam na ni salamu ya watu wa peponi.

Wayahudi wanasema Shalom aleikhem..maaana yake ni hiyo hiyo
Sijui kama umesoma reply zangu vizuri kwasababu nakumbuka vema kuwa kuna sehemu nimeandika kuwa hata hiyo salamu ya shalom huwa inanikera, hata zile salamu za "tumsifu Yesu kristo" au "Bwana asifiwe" nje ya mazingira ya ibada huwa zinanikata stimu kwasababu tunapokuwa uraiani sisi sio watu wa dini ni raia wa kawaida why tufosi hizo salamu yenye mlengo fulani,maana zinaleta wenge sana.

Kuhusu kwenda peponi kwasababu ya salamu ,hebu uwe serious kidogo. Wewe na umalaya wako salamu ndio ikufute madhambi uwe msafi lahabithi la hamal mkubwa weye?😂😂😂😂😂
 
Niliambiwa wakristo wapo Ila kwa asilimia ndogo mno inawabidi wavalishwe mavazi ya kiarabu hasa mabinti
km unavyojua wakrsto hawanag kelele

ila mzazi mkristo kuruhusu mtoto wake kwenda pale ni kutijitambua
nafikiri ni wazazi wale wasiojua kuhusu elimu
Sasa watumwa wa waarabu watampa elimu Gani mtoto
Sayansi Yao wanasema jua huzama kwenye tope
 
Unanitag nikikuuliza maswali hunijibu unaingia mitini
Soma soma au tukuminye mbavu ...Wewe unajua yakini kuwa muislamu yoyote ni lazima apinge kuwa Yesu siyo Mungu kwa sababu ukikubali kuwa yesu ni Mungu au ni mkuu kuliko muhammad tayari umesha gundua kuwa msahafu na muhammad ni vitabu vya shetani.
 
Back
Top Bottom