Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Mmh!! Nyerere ali promote sana kiswahili chenye asili yake ya maneno 60% kiarabu, hivi kwanini hakuendeleza kisukuma ambcho kina ongelewa kwa 25% ya watanzania, unasikia mtu eti "shikamoo" manaake ni nini? Tungesalimiana "muangharuka Mayo".... tungepungukiwa nini?
Kiswahili ni kibantu kwa asilimia 65% hizo ndio 35% ndio lugha zingine ikiwemo kiarabu usitudanganye
 
Mmh!! Nyerere ali promote sana kiswahili chenye asili yake ya maneno 60% kiarabu, hivi kwanini hakuendeleza kisukuma ambcho kina ongelewa kwa 25% ya watanzania, unasikia mtu eti "shikamoo" manaake ni nini? Tungesalimiana "muangharuka Mayo".... tungepungukiwa nini?
Kiswahili ni kibantu kwa asilimia 65% hizo ndio 35% ndio lugha zingine ikiwemo kia
 
Punguza hasira mkuu utakufa bure Uislamu is unstopable ni kama SGR huwezi kuivuta ndo itakuvuta tu, hapo unapoteza nguvu zako bure.
kama ambavyo mudi aliukuta ukristo akaanzsha vita za kuua wakristo na ukriso ili aumalize at last yeye ni mzoga na hata hajui atatendwa nn sku ya hukumu, huku wafuasi wake mko busy kumswalia ili naye apatemo ka mto ka gongo na wanzuki na malaya kadhaa.
 
Moja ya sifa ya watu wa Mungu ni kuwa na wivu wa kuona wengine pia wanaujua ukwel, mm hilo huwa nalipinga 100% hizi dini zote tumepigwa ila uislamu ndo tumepigwa zaidi dini gani inakuja na uchawi ndani yake

Wao wamekomaa kuhoji wakristo kuabudu jua (sunday)wakati wao ndo waabudu sanam wakubwa (Mwezi na Nyota) hata elimu ya unajimu ipo sana kwenye uislam

Muislam hafungi wala kufungua ramadhan bila kuona mwez hata nembo yake ni mwezi hawa wengine (wakristo) wao wanaweka msalaba
Mwajuma kumwita mwaju the same
 
Kuna ambao nishawaignore,,ila itabidi niongeze hii kasi ya hili zoezi ili mwisho wa siku niepukane na hawa wapuuzi

Bwashee halafu ignore yenyewe nayo wala sio poa inatakiwa total block,yani tumalizane kama tumekufa vile,yani nikikulima block nisahau kama kuna kiumbe anaitwa min me​

Naunga mkono hoja
 
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?

2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku

3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo

4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako

Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu

5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu

6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.

7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kutia watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika

Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
Kuishi Kwa tamaduni za kizungu ni ufahari kwani?
 
Dua nayo ina dini?
Huo ni utamaduni wa kiarabu wala sio dini
Waarabu wa dini zote na wasiomjua Mungu hufanya Dua ya chooni
Dua (ni neno la kiarabu lenye maana ya maombi) ...Kwenye dini ya Uislam..ni maombi ambayo muislam anamuomba Mola wake. Dua ni ibada kama ibada nyingine na inahitaji nia, yakini na ikhlaswi (uielekeze kwa Mungu tu si kutafuta sifa kwa watu).

Mtume Muhammad (pbuh) ameletwa kama kiongozi wa kutufundisha uislam na utaratibu mzima wa dini na ametufundisha dua mbali mbali ambazo tunapaswa kuzitumia kila siku katika maisha yetu kumuomba Mungu.

Dua unaruhusiwa kuomba kwa lugha yoyote ile .Mungu ndiye aliyeumba hizi lugha tunazozitumia sisi wanadamu na anajua kila lugha...Kwahiyo dua unaweza kuiomba kwa lugha yoyote ile unayojua..masharti tu kwamba umuombe Mungu kikweli kweli (ikhlaswi), uwe na nia na vilevile uwe na yaqini kuwa Mungu anasikia na atajibu maombi yako..

Miongoni mwa dua alizofundisha Mtume Muhammad ni dua ya mtu anapotaka kuingia chooni (msalani)...na akafundisha kuwa ukitaka kuingia chooni utangulize mguu wa kushoto na ukitoka utangulize mguu wa kulia.

Chooni (msalani) ni sehemu ambayo inatumiwa kama makazi ya mashetani wa kiume na wa kike (khubuthi na khabaith)...

Hivyo kabla ya kuingia chooni unasema

"Allahumma inni aundhubika minal khubuth wal khabaith) tafsiri yake

" Ewe mola wangu mlezi najilinda kwako kutokamana na mashetani wa kiume na wa kike)
 
😀😅😀
Nimechoka mno
Eti wudhu
Kutayyamam
Acha mbwembwe siuandike kiswahili
Mi Mtanganyika hayo kiarabu najulia wapi?
uchoke usichoke mimi nitakutumia wewe kama ubao wa kufundishia wengine...Huenda kupitia hizi post zako za kuukejeli Uislam...Mungu akazitumia Kumuongoa mja wake na kuingia katika Uislam....

Usichoke kuandika...sisi tupo tutakufundisha tu...sawa!?
 
Sawa Shehe me Sina shida na uislam wako
Me nilikuwa nasemea tamaduni za kiarabu tu, wala siyo uislam wako
 
ili tukapate mito ya gongo na wanzuki na malaya uko pepon au siyo, lakn pia ili tuanze kuua wengne kama hawataki uislam na tuanze harakati za kupndua serikali tuweke ya kidini bila kusahau tuanze kumpgania allah mungu anayepganiwa na wanadamu hana uwezo wa kujpgania. Kama ni hayo npo tyr mi ndiye niwe shetan na shetan asamehewe kuliko kuwa muislam.
 
Quran 2:256-257

"Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.

Mwenyezi Mungu ni Mlinzi wa walio amini. Huwatoa gizani na kuwaingiza mwangazani. Lakini walio kufuru, walinzi wao ni Mashet'ani. Huwatoa kwenye mwangaza na kuwaingiza gizani. Hao ndio watu wa Motoni, na humo watadumu."
 
Sawa Shehe me Sina shida na uislam wako
Me nilikuwa nasemea tamaduni za kiarabu tu, wala siyo uislam wako
Wewe umekuja kuushambulia uislam na chuki ambayo ipo moyoni mwako dhidi ya Uislam ni kubwa kuliko hii unayoidhihirisha humu mitandaoni.

Mungu alifunue pazia lililo moyoni mwako ili uweze kuuona ukweli kabla ya kufa kwako ameen
 
Fanya yaliyo muhimu boss!
Madhali wanaabudu na kufanya hayo bila kulazimisha au kulazimishwa achana nao pengine wako sahihi we endelea na mizimu ya mababu
 
Quran 2:256-257

"Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.

Mwenyezi Mungu ni Mlinzi wa walio amini. Huwatoa gizani na kuwaingiza mwangazani. Lakini walio kufuru, walinzi wao ni Mashet'ani. Huwatoa kwenye mwangaza na kuwaingiza gizani. Hao ndio watu wa Motoni, na humo watadumu."
sjasoma huo upuuzi wako jikte hapo nlipoandka je ni kweli au si kweli..bs
 
Kwanza Uislamu haulazimishi Dini:

3: 85- Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.

9:29 - Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:

"The Messenger of Allah [SAW] said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"

Si mnaona
Hakuna kulazimisha Dini:
 
Sheria ya ALLAH kwa mtu ambaye ni Murtad huwa ni KIFO (Capital punishment)....

Hata ukisoma Biblia yako utaikuta hii sheria ya Apostasy..Tena BIBLIA inasema huyo mtu anatakiwa APIGWE MAWE HADHARANI MPAKA KUFA ILI WATU WENGINE WASIIGE UPOTOVU WAKE.

Kumbukumbu la torati 13:6-11

"
Atakapokushawishi kwa siri ndugu yako, mwana wa mamaako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa kifuani mwako, au rafiki yako aliye kama moyo wako, akikuambia, Twende tukaabudu miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako;
7 katika miungu ya mataifa yaliyo kando-kando yenu karibu nawe au mbali nawe, tokea ncha moja ya dunia hata ncha ya pili ya dunia;
8 usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;
9 mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.
10 Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na Bwana, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
11 Na Israeli wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako."
 
Back
Top Bottom