Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Ikiwa salamau ipo toka agano la kale kwa nini nyinyi hamsalimiani, basi hata kwa kiswahili?
Kiswahili chake unaijua ...taja kwa kiswahili hiyo salamu .... pia salamu njema zipo nyingi tu ...imeandikwa Yesu alipo fufuka tu na kuonana na wanafunzi wake aliwasalimia hiyo salamu.
 
Sasa watumwa wa waarabu watampa elimu Gani mtoto
Sayansi Yao wanasema jua huzama kwenye tope
Ukinipa hiyo saysnsi toka Quran nabatizwa leo leo
 
Attachments

  • IMG_20251224_233007_563.jpg
    IMG_20251224_233007_563.jpg
    74.6 KB · Views: 8
Ukinipa hiyo saysnsi toka Quran nabatizwa leo leo
Sijakuelewa, kwamba na wewe unaamini kama warabu kuwa jua usiku huzama kwenye tope
Hilo tope liko wapi?
Asubuhi kukicha linatokaje kwenye hilo tope
Yaani hujua kuwa Earth rotation ndo unaleta usiku na mchana
 
Soma soma au tukuminye mbavu ...Wewe unajua yakini kuwa muislamu yoyote ni lazima apinge kuwa Yesu siyo Mungu kwa sababu ukikubali kuwa yesu ni Mungu au ni mkuu kuliko muhammad tayari umesha gundua kuwa msahafu na muhammad ni vitabu vya shetani.
Umesema roho mtakatifu ana nafsi mbili ndani yake, moja ya Mungu na nyingine ya binadamu je hiyo nafsi ya binadamu ni ya binadamu gani?
 
Umesema roho mtakatifu ana nafsi mbili ndani yake, moja ya Mungu na nyingine ya binadamu je hiyo nafsi ya binadamu ni ya binadamu gani?
Sikusema hivyo ..pia nilikujibu ili swali kuhusu hiyo nafsi ya pili ..
Nilisema Nafsi ya mungu inapokuwa ndani ya mcha mungu ndiyo uitwa kwa jina la ROHO MTAKATIFU ndiyo utokea fafanuzi hii ya mwili mmoja wenye nafsi mbili ...yaani nafsi ya huyo mchamungu na nafsi ya mungu
 
Sikusema hiyo ..pia nilikujibu ili swali kuhusu hiyo nafsi ya pili ..
Nilisema Nafsi ya mungu inapokuwa ndani ya mcha mungu ndiyo uitwa kwa jina la ROHO MTAKATIFU ndiyo utokea fafanuzi hii ya mwili mmoja wenye nafsi mbili ...yaani nafsi ya huyo mchamungu na nafsi ya mungu
Nilikuuliza kuhusu nafsi mbili za Yesu ukakana ukasema hujasema Yesu ila roho mtakatifu ndio ana nafsi mbili sasa naona unabadilisha tena

Sawa niambie kati ya Yesu na roho mtakatifu yupo ana nafsi mbili ya binadamu na ya Mungu?
 
Neno ROHO MTAKATIFU ANA NAFSI MBILI SIJAWAI KULISEMA POPOTE KWA SABABU ROHO MTAKATIFU NI NAFSI MOJA TU YA MUNGU ..MUNGU ANA NAFSI MOJA TU..HAKUNA MUNGU MWRNYE NAFSI MBILI ...nafsi mbili niliyo sema mimi ni nafsi moja ya mungu na nafsi moja ya mwanadamu zikiwa ndani ya mwili mmoja ndiyo huo mwili nikautaja kuwa ni MWILI MMOJA WENYE NAFSI 2...wewe ni kichwa ngumu
 
Acha kututisha. Kichogo kinabonyezwa tu na kibarghashia kinakaa mwake, gauni linashikiliwa na mbio tunapiga tena kuwakimbia wenye mashamba tuliowalishia mashamba yao. Ndevu twapaka hinna na ziota mwake mwake tukiongea waona meno meupe tu. Bismillah na inshallah twaitamka vyema kushinda hata muarabu mwenyewe.
😂😂😂😂😂
 
Nilikuuliza kuhusu nafsi mbili za Yesu ukakana ukasema hujasema Yesu ila roho mtakatifu ndio ana nafsi mbili sasa naona unabadilisha tena

Sawa niambie kati ya Yesu na roho mtakatifu yupo ana nafsi mbili ya binadamu na ya Mungu?
Neno kuwa na roho mtakatifu ni kuwa na nafsi mbili ndani ya mwili mmoja ni sahihi ila siyo (Roho Mtakatifu ni nafsi mbili.)
 
Halafu makafiri na unafiki wenu na upendo wenu wa kuigiza na wakati tunajua hamuwapendi Waislam wala hamuipendi Dini yao na mnaidharau mje mseme na kupiga ukunga "udini, udini, udini"
 
Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi

Wewe kafiri najisi, umeficha chuki zako weeeee dhidi ya Uislam na Waislam nyuma ya pazia la siasa ukijifanya unampiga vita Rais Muislam Mama Samia na sasa umeshindwa kuvumilia umeona udhihirishe chuki zako rasmi waziwazi dhidi ya Uislam na Waislam usijifiche kama zamani.

Sasa sikiliza sisi ndio tushakuwa Waislam na tunamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah. KUFA KWA CHUKI ZAKO.

Qur’an 109

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?

2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku

3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo

4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako

Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu

5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu

6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.

7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kuita watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika

Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi

Ufafanuzi kwa ufupi na kwa usahihi:
Qurani ni ya Kiarabu
Allah anasema wazi:
“Hakika tumeteremsha Qurani kwa lugha ya Kiarabu ili mpate kufahamu.”
(Qurani 12:2)
Hii ndiyo sababu lugha ya ibada (kusoma Qurani, Swala, Dhikr) ni Kiarabu.
Mtume Muhammad (ﷺ) alikuwa Mwarabu
Alizaliwa Makka, Uarabuni.
Ujumbe ulianza kwa Waarabu, lakini haukuishia kwao.
Lakini Uislamu ni dini ya watu wote
Allah anasema:
“Na hatukukutuma ila kwa watu wote…”
(Qurani 34:28)
Hii inaonesha wazi Uislamu si dini ya kabila au taifa moja.
Uislamu hauhitaji mtu awe Mwarabu
Muislamu anaweza kuwa:
Mwafrika
Mzungu
Mchina
Mhindi
Kigezo si lugha wala damu, bali Imani na Taqwa.
Kilicho cha Kiarabu ni lugha, si dini
Lugha ya Qurani = Kiarabu
Dini yenyewe = Uislamu (kujisalimu kwa Allah)
Hitimisho:
Uislamu uliteremshwa kwa Kiarabu, lakini haukuja kwa Waarabu pekee.
Ni dini ya ulimwengu mzima.
 
Neno ROHO MTAKATIFU ANA NAFSI MBILI SIJAWAI KULISEMA POPOTE KWA SABABU ROHO MTAKATIFU NI NAFSI MOJA TU YA MUNGU ..MUNGU ANA NAFSI MOJA TU..HAKUNA MUNGU MWRNYE NAFSI MBILI ...nafsi mbili niliyo sema mimi ni nafsi moja ya mungu na nafsi moja ya mwanadamu zikiwa ndani ya mwili mmoja ndiyo huo mwili nikautaja kuwa ni MWILI MMOJA WENYE NAFSI 2...wewe ni kichwa ngumu
Ulisema roho mtakatifu ndiyo mwili wa binadamu wenye nafsi mbili
 
Halafu kutwa kucha kumsimanga Mama Samia. Kumbe unaficha chuki dhidi ya Uislam na Waislam.
Hii ndo hasara ya jamii kukosa elimu na kujifanya waarabu
Uzi unaongelea tamaduni za kiarabu wewe unahusisha na dini yako ya uislam
We unadhani kila mwarabu ni muislam?
 
Bila ya kona kona, Kiarabu ni lugha yenye mfumo wa kipekee na uliokamilika wa mawasiliano, na kwa msingi wa kihistoria, kimuundo na kielimu, kinaweza kuitwa lugha ya elimu.
Nimekudharau
 
Back
Top Bottom