Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Hivi inakuwaje mtu unaamka tu unachagua vita na imani ya wengine?

Muda unaotumia kukashifu ya wengine ungetumia kusifia ya kwako
Hakugusa imani sister, kugusa tamaduni. Jaribu kutenganisha kati ya Uislamu na Uarabu. Yeye kuongelea Uarabu kama tamaduni na sio dini bosi wangu.
 
Hadi waarabu wamechoka dini yao haieleweki mambo mengi hayana maana yeyote hii dini mie sielewagi wanamuabudu nani kweli .

Wanamisimamo ambayo huielewi .
Yaani kwanza hawana matunzo .
 
Attachments

  • IMG-20260127-WA0000.jpg
    IMG-20260127-WA0000.jpg
    61.3 KB · Views: 8
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?

2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku

3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo

4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako

Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu

5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu

6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.

7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kutia watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika

Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
Kufa kwa chuki zako....!!!
 
Mtoa mada kaongelea Utamaduni na hajagusa dini ila baadhi ya wachangiaji wanaongelea Dini:
Hata majina ya kienyeji yanakufa, mavazi, vyakula, nk vinaigwa vya kigeni:
 
Kuna hii ya kusalimiana kiarabu. Aisee huwa inanikera sana. Mtu anawakuta salamu ni " Assalamualaikum" sasa unanisalimia kiarabu mimi ni muarabu? Nimeshawahi kukusalimia " bonjour monsieur " au " Buo Giorno / Buona sera" au "Good morning/ Good afternoon", au " ZÇŽoshang hÇŽo" au " Guten Morgen"? Why uwe na pride ya lugha ya taifa lingine as if upo hilo taifa halafu unajinasibu kama ndio salamu sahihi na kuu kwenye jamii yako?

Mimi nitaanza kuwajibu kwa lugha za mataifa mengine sasa, ukinambia "As-salamu alaykum" najibu " nyi hao" au "may peace be with you too"

Tusijitoe ufahamu kwa vitu ambavyo vipo wazi na bayana kabisa.
Ila pasta wako akisema shalom shalom unaona sawa?

As salaam alaikum...maana yake ni amani iwe nanyi ni salamu ya amani tunayotakiana waislam na ni salamu ya watu wa peponi.

Wayahudi wanasema Shalom aleikhem..maaana yake ni hiyo hiyo
 
Kwamba Mungu anajua kiarabu tu
Kiswahili hakitaki na hakijui
hayo unayasema wewe kumzulia uongo Mungu.

Ibada ambayo imewekwa katika lugha ya kiarabu ni "swala/sala" peke yake.

Na pia Quran tunaisoma katika lugha yake ya asili na ndio sababu imehifadhika kwa takribani miaka 1440. Ndio kitabu ambacho kipp katika lugha yake ya asili bila ya kuharibiwa tofauti na Vitabu kama vya taurati na Injili ambazo zilitiwa mikono na watu waovu na kubadilishwa lugha yake kwenda kigiriki,kilatini na kuja kwenye lugha za kingereza na kiswahili...
 
Nikiona mada zinazokandia kabila, dini, au ukanda huwa nawaza namna gani mtu alivyo mkuda, hakuna aliyebora zaidi ya mwingine, Mi bimkubwa mkristo Mimi muislam lakini tunaishi peace, sijawahi m'bagua mwenzangu kwa sababu ya kutofautiana itikad,, hii sio Sawa.
 
Imebidi nilog in kwa ajili ya huu uzi wako. Eti mchana na kipilipili chake anavaa balaghashia. 😂😂😂

Umesahau mdogo anakunywa na kutawadhia haja kubwa mawe matatu kama mtume wa Allah alivyofanya. 😂😂😂

We jamaa mpuuzi sana. Nimecheka sana kwa kweli. Ngoja niangalie comments za waarabu wa Kilwa masoko.
😅😀😀unakuta jitu linaingia chooni na Dua
Sasa mavi nayo ya kugombea dua
 
Ila pasta wako akisema shalom shalom unaona sawa?

As salaam alaikum...maana yake ni amani iwe nanyi ni salamu ya amani tunayotakiana waislam na ni salamu ya watu wa peponi.

Wayahudi wanasema Shalom aleikhem..maaana yake ni hiyo hiyo
Vipi Leo umetawazia mchanga ?
 
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?

2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku

3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo

4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako

Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu

5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu

6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.

7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kutia watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika

Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
Hivyo basi nyinyi ndio mnawapenda watu hao, wala wao hawakupendeni. Nanyi mnaviamini Vitabu vyote. Na wanapo kutana nanyi husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao wanakuumieni vidole kwa chuki. Sema: Kufeni kwa chuki yenu! Hakika Mwenyezi Mungu anayajua yaliomo vifuani
 
Hueleweki
 
Vipi Leo umetawazia mchanga ?
Ngoja nikupe somo uelewe kea niaba ya wengine...

Kutayammam (Tayammam) kutia wudhu kwa kutumia mchanga .

Ibada ya swala kwetu sisi waislam haikubaliki mpaka ujitwaharishe kwa kutumia maji ( tunaita Wudhu). Tunaosha viganja vya mikono, tunasukutua mdomo na kuosha pua, kisha tunaisha uso, kisha mikono (kulia kisha kushoto) tunaosha na kichwa na maskio, na mwisho miguu. Hapa unakuwa twahara (msafi) kwa ajili ya kufanya ibada mbalimbali ikiwemo Swala.

Wudhu ni kinga ya muislam kutokamana na masheitwan. Ukiwa na wudhu ni ngumu kwa shetani kukuchezea.

Sasa basi inapotokea maji yamekosekana ndio tunapasa kutumia mchanga kama mbadala...

Na hapa tunachukua viganja viwili vya mikono kisha tunagusisha mchanga na kisha tunaukumuta kwa kutumia viganja viwili kisha unapitisha usoni na baadae mikononi...Hapa unakuwa msafi kwenda kufanya ibada.

Kuna faida nyingi za kutia wudhu...ikiwemo na kufutiwa madhambi madogo madogo tunayoyafanya kila siku.

Je shida yako iko wapi hapo?

kunitwaharisha kwa mchanga huwa ni dharura tu endapo hakuna maji kabisa au maji yaliyopo ni machache sana labda yanakidhi tu kwa kunywa na kupikia au upo kizuizini na hakina access ya kupata maji hapo unaweza kugusisha viganja vyako hata ukutani tu na kupangusa uso na mikono na ukaswali...hapa ndio tunatumia mchanga kinyume na hapo ni sharti tutumie maji
 
Ngoja nikupe somo uelewe kea niaba ya wengine...

Kutayammam (Tayammam) kutia wudhu kwa kutumia mchanga .

Ibada ya swala kwetu sisi waislam haikubaliki mpaka ujitwaharishe kwa kutumia maji ( tunaita Wudhu). Tunaosha viganja vya mikono, tunasukutua mdomo na kuosha pua, kisha tunaisha uso, kisha mikono (kulia kisha kushoto) tunaosha na kichwa na maskio, na mwisho miguu. Hapa unakuwa twahara (msafi) kwa ajili ya kufanya ibada mbalimbali ikiwemo Swala.

Wudhu ni kinga ya muislam kutokamana na masheitwan. Ukiwa na wudhu ni ngumu kwa shetani kukuchezea.

Sasa basi inapotokea maji yamekosekana ndio tunapasa kutumia mchanga kama mbadala...

Na hapa tunachukua viganja viwili vya mikono kisha tunagusisha mchanga na kisha tunaukumuta kwa kutumia viganja viwili kisha unapitisha usoni na baadae mikononi...Hapa unakuwa msafi kwenda kufanya ibada.

Kuna faida nyingi za kutia wudhu...ikiwemo na kufutiwa madhambi madogo madogo tunayoyafanya kila siku.

Je shida yako iko wapi hapo?
😀😅😀
Nimechoka mno
Eti wudhu
Kutayyamam
Acha mbwembwe siuandike kiswahili
Mi Mtanganyika hayo kiarabu najulia wapi?
 
Back
Top Bottom