ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,697
- 39,155
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?
2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku
3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo
4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako
Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu
5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu
6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.
7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kuita watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika
Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi