min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,539
- 175,258
Walio changanyikiwa zaidi ni wale ukristo umeanzia mashariki ya kati , ila wao wameiga Tamaduni za kizungu kwenye ukristo.
mti wa krismasi na santa claus , sio ukristo ni tamaduni za ulaya tu.
Ndoa , gauni Jeupe na suti si ukristo ni tamaduni za kizungu tu
Majina ya kizungu pita , julieti Catherine na nk sio ukristo ni tamaduni za kizungu tu