Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Kiswahili chake unaijua ...taja kwa kiswahili hiyo salamu .... pia salamu njema zipo nyingi tu ...imeandikwa Yesu alipo fufuka tu na kuonana na wanafunzi wake aliwasalimia hiyo salamu.
Amani juu yenu...
 
Imebidi nilog in kwa ajili ya huu uzi wako. Eti mchana na kipilipili chake anavaa balaghashia. 😂😂😂

Umesahau mdogo anakunywa na kutawadhia haja kubwa mawe matatu kama mtume wa Allah alivyofanya. 😂😂😂

We jamaa mpuuzi sana. Nimecheka sana kwa kweli. Ngoja niangalie comments za waarabu wa Kilwa masoko.
Mbn kilwa masoko jmn
 
Si kosa kuiga baadhi ya tamaduni na hasa kama tamaduni hizo hazikiuki haki za binadamu na pia hazivunji sheria.

Kwa mfano mtoa mada unavaa suruali, ni tamaduni gani imekupa vazi hilo?

Vazi la mtu wa Afrika ni kipande cha ngozi ķinacho funika makalio na utupu, kinachozungushwa katikati ya mapaja. (Kwa mwanaume)
Na mwanamke anajifunga kipande cha ngozi kuficha tupu yake, matiti yanakuwa wazi.

Sasa ukitaka turudi kwenye tamaduni zetu tuanze kuvua suruali, maana siyo vazi la kiafrika.
 
Hii ndo hasara ya jamii kukosa elimu na kujifanya waarabu
Uzi unaongelea tamaduni za kiarabu wewe unahusisha na dini yako ya uislam
We unadhani kila mwarabu ni muislam?

Unauzungumzia Uislam, wewe kafiri najisi. Ndio tushakuwa Waislam sasa wewe kafiri.



Tumeridhia Allah kuwa Mola wetu Mlezi na tumeridhia Uislam kuwa Dini yetu na tumeridhia Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kuwa Nabii na Mtume kwetu.



Acha kujisumbua na Acha chokochoko, tuache na Uislam wetu wewe kafiri. Na usijipe umuhimu usiokuwa nao kwa Waislam.
 
Hivyo basi nyinyi ndio mnawapenda watu hao, wala wao hawakupendeni. Nanyi mnaviamini Vitabu vyote. Na wanapo kutana nanyi husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao wanakuumieni vidole kwa chuki. Sema: Kufeni kwa chuki yenu! Hakika Mwenyezi Mungu anayajua yaliomo vifuani




Allah Akulipe Kheri Ndugu yangu Mkarimu.





(Qur-aan 3: 118-120)

118. Enyi mlio amini! Msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni ubaya. Wanayapenda yanayo kudhuruni. Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini.



119. Hivyo basi nyinyi ndio mnawapenda watu hao, wala wao hawakupendeni. Nanyi mnaviamini Vitabu vyote. Na wanapo kutana nanyi husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao wanakuumieni vidole kwa chuki. Sema: Kufeni kwa chuki yenu! Hakika Mwenyezi Mungu anayajua yaliomo vifuani.



120. Ikikupateni kheri huwaudhi. Na ikikupateni shari wanafurahia. Na nyinyi mkisubiri na mkajizuilia, hila zao hazitakudhuruni kitu. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye kuyazunguka yote wayatendayo.
 
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?

2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku

3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo

4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako

Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu

5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu

6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.

7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kuita watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika

Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
Kutana na mpemba sasa anajiona mwarabu pure na wanajiita waarabu kabisa
 
Mimi nikaona mtu kavalia hayo magauni yao na viugali huko kichwani na mandevu kama kichaka basi namkalia mbali
 
Vipi unaandika vitu usivyoweza kuvisoma?



Na anadhani maneno yake na maoni yake kuhusu Uislam yana umuhimu wowote.


Na ndivyo walivyo hawa makafiri wa humu baadhi yao, kwa sababu wanaweza kuzungumzia mambo ya ccm na chadema basi wanafikiri maoni yao yanahitajika katika kila kitu ikiwemo Dini wasiyoijua. Kama huyu kafiri aliyeleta huu uzi.
 
Back
Top Bottom