Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Unauzungumzia Uislam, wewe kafiri najisi. Ndio tushakuwa Waislam sasa wewe kafiri.

Tumeridhia Allah kuwa Mola wetu Mlezi na tumeridhia Uislam kuwa Dini yetu na tumeridhia Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kuwa Nabii na Mtume kwetu.

Acha kujisumbua na Acha chokochoko, tuache na Uislam wetu wewe kafiri. Na usijipe umuhimu usiokuwa nao kwa Waislam.
Vipi ushatawaza?
 
Ufafanuzi kwa ufupi na kwa usahihi:
Qurani ni ya Kiarabu
Allah anasema wazi:
“Hakika tumeteremsha Qurani kwa lugha ya Kiarabu ili mpate kufahamu.”
(Qurani 12:2)
Hii ndiyo sababu lugha ya ibada (kusoma Qurani, Swala, Dhikr) ni Kiarabu.
Mtume Muhammad (ﷺ) alikuwa Mwarabu
Alizaliwa Makka, Uarabuni.
Ujumbe ulianza kwa Waarabu, lakini haukuishia kwao.
Lakini Uislamu ni dini ya watu wote
Allah anasema:
“Na hatukukutuma ila kwa watu wote…”
(Qurani 34:28)
Hii inaonesha wazi Uislamu si dini ya kabila au taifa moja.
Uislamu hauhitaji mtu awe Mwarabu
Muislamu anaweza kuwa:
Mwafrika
Mzungu
Mchina
Mhindi
Kigezo si lugha wala damu, bali Imani na Taqwa.
Kilicho cha Kiarabu ni lugha, si dini
Lugha ya Qurani = Kiarabu
Dini yenyewe = Uislamu (kujisalimu kwa Allah)
Hitimisho:
Uislamu uliteremshwa kwa Kiarabu, lakini haukuja kwa Waarabu pekee.
Ni dini ya ulimwengu mzima.
Mafundisho yoyote ya mungu ni lazima yaje kwa lugha ambayo hayo mafundisho watu yaliyo wafikia kwanza wanaitumia ...ndivyo ilivyo hata ingekuwa kuna mtume katumwa duniani kupitia waswahili basi lugha ya mungu kuleta neno lake ingekuwa ni kiswahili ....swali tunalo wauliza waislamu ni ili ...ni nani aliye waambia kuwa lugha ya kumuabudia mungu Allah ni kiarabu au ni lazima iwe kiarabu je lugha zisizo kiarabu ni wapi ndani ya msahafu ziliharamishwa ? Ni aya gani imeziharamisha lugha zisizo kiarabu na kuiharalisha lugha ya kiarabu ...kumbuka nimekuambia kuwa mungu amtumapo mjumbe wake na kumpa neno lake utumia lugha za watu anaoishi nao ..kama muhammad asingekuwa arabuni basi msahafu ungekuwa kwa lugha tofauti na kiarabu.
MANI KAWAAMBIA WAISLAMU KUWA LUGHA YA KIARABU NDIYO LUGHA YA KUMUABUDIA MUNGU... KUMBUKENI KUWA KIARABU KILIKUWEPO KABLA HATA YA MUHAMMAD NA MSAHAFU.
 
Hiyo ni Kwa waafrica karibia wote sehemu kubwa ya tamaduni tulizonazo ni za wazungu na waarabu

So ilipaswa kuwasema wote without double standard
 
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?

2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku

3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo

4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako

Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu

5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu

6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.

7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kuita watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika

Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
We pimbi wapi umekuta mtu ANAOMBA Bismillah au salamaleko. Nani alikudanganya kuwa hizo ni Dua?
Nyie ndio wale kenge mnaodhani kila anaevaa kanzu ni muislamu kumbe hata mapadri wanavaa pia

Halafu makafiri ni viumbe wa ajabu sana.
Yale makelele makanisani wanayopiga wenzako mara utaskia "shalalamamamakeke..
Palatalakakakaapuuu. ...shalakanamatakala...toooooookaa. halaluuuuuuuyaaaaah.

Hayo ni maneno ya kiswahili,?
Zile TV channel za kilokole kila siku tunaona mara mchaga na muhehe . Mmoja anaongea kiingereza feki mwingine anaongea kiswahili cha kanisani wakati wote hao kiswahili cha kawaida wanakifahamu
Yaani ule uzungu uzungu ndio wanaona ibada.
Jua Kaaali Utakuja mijitu myeusii imevaa suti nyeusi. Jasho linawatoka km Nguruwe anabanikwa

Yaani huko koote huoni. Umeona balagashia na kobazi tu?
Mamamamae
 
Dini zililetwa tu. Sipingi na sipongezi ila mimi kama mimi mara ya mwisho kwenda kanisani n tar 1jan2000 msiulize kwa nin.
 
Ngoja waarabu wa buza waje.
 
Mleta mada umesahau kitu kimoja jinsi wamatumbi wanavyoiga utamaduni wa mwarabu wa kufuga vile viumbe,Heri hata uige utamaduni wa mzungu unaweza kukuletea manufaa
 
We pimbi wapi umekuta mtu ANAOMBA Bismillah au salamaleko. Nani alikudanganya kuwa hizo ni Dua?
Nyie ndio wale kenge mnaodhani kila anaevaa kanzu ni muislamu kumbe hata mapadri wanavaa pia

Halafu makafiri ni viumbe wa ajabu sana.
Yale makelele makanisani wanayopiga wenzako mara utaskia "shalalamamamakeke..
Palatalakakakaapuuu. ...shalakanamatakala...toooooookaa. halaluuuuuuuyaaaaah.

Hayo ni maneno ya kiswahili,?
Zile TV channel za kilokole kila siku tunaona mara mchaga na muhehe . Mmoja anaongea kiingereza feki mwingine anaongea kiswahili cha kanisani wakati wote hao kiswahili cha kawaida wanakifahamu
Yaani ule uzungu uzungu ndio wanaona ibada.
Jua Kaaali Utakuja mijitu myeusii imevaa suti nyeusi. Jasho linawatoka km Nguruwe anabanikwa

Yaani huko koote huoni. Umeona balagashia na kobazi tu?
Mamamamae
Vipi ushatawaza?
Karibu kitimoto
 
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?

2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku

3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo

4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako

Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu

5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu

6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.

7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kuita watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika

Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi

  1. Lugha si tatizo. Biblia ina maneno ya Kiebrania yanayotumiwa hadi leo (Amina, Haleluya). Mungu hasikii kwa Kiswahili tu (Warumi 10:13).Ndevu si uarabu. Biblia inakataza kunyoa ndevu kabisa (Walawi 19:27). Yesu na manabii wote walikuwa na ndevu.
  2. Mavazi si kabila. Yesu na makuhani walivaa majoho/kanzu (Kutoka 28). Mungu huangalia moyo, si nguo (1 Samweli 16:7).
  3. Kazi sio ibada Hakuna anayechunga ng’ombe kwa kanzu; ibada ina wakati wake (1 Wakorintho 14:40).
  4. Kufunika kichwa ni ibada, si uarabuni (Kutoka 28:40).
  5. Kutawadha/kutakasika ipo nmdani ya Biblia (Zaburi 26:6; Hesabu 19:17).
  6. Kuita watu ibadani kwa sauti ni amri ya Biblia (Yoeli 2:1). Kanisa lina kengele, Uislamu una adhana.
Mwisho . Dini si uarabu wala ukabila. Biblia inasema: “Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa” (Hosea 4:6).
 
Pole
 
Nyie hembu acheni hoja za kitoto, illogical na kuongea kama mmekatwa kichwa, kwani kitabu kikitafsiriwa katika lugha lugha nyingine kinapotea au kufutika katika lugha yake ya mwanzo??
Biblia ilivyotafsiriwa katika Kiswahili kutoka Biblia ya Kingereza imezifanya Biblia za Kingereza kubadilika au kupotea??
Kitabu cha The Art of War cha Sun Tzu ni cha kale kuliko Quran ya Muhammad na kiko katika makumi ya lugha pamoja na lugha yake ya asili ya Kichina kama alivyoandika Sun Tzu mwenyewe.
Sijajua level ya elimu yako...Ila nenda kwa padri au askofu muulize kuna version ngapi za biblia? Akikupa majibu...zilete hapa tulinganishe nikuoneshe baadhi tu maandiko ambayo yalikuwepo kwenye matoleo ya kale ila kwasasa yamefutwa na mengine kubadilishwa.
 
Back
Top Bottom